Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
- Thread starter
- #41
Hakuna utafiti unaothibitisha Hilo but on average wengi waliokwenye position nzuri ni wenye GPA kubwa.Fanya ulinganisho katika maisha halisi.Waliosoma kwa kufaulu sana na wale pass ya kawaida nani wametoboa/wametusua kimaisha katika level tofauti?
Vipanga wengi wa kukariri principals, definitions, fomulars n.k wapo vyuoni wanapiga chaki. Ni ma-academicians wa kuwaelimisha ma-gentlemen pass watarajiwa wakatusue life.
Gentlemen pass majority (few vipanga)ndio wapo huko kwenye sera, ujasiriamali na siasa. Na ndio wapo vizuri kiuchumi.
We kariri tu hiyo mi-GPA yako mikubwa kwenye mikaratasi isiyo na uhalisia katika maisha ya mitaani.
Hapo juu nimekupa tu mfano, academicians wote wa vyuoni ni wenye GPA kubwa meaning ukiwa tu GPA ndogo hauwezi kupata iyo kazi.
Huko katika siasa, Sera na ujasilimali Kuna watu wenye GPA kubwa pia. Waangalie watu Kama Selemani Jafo, Vunja Bei, Joel Nanauka, Jokate Mwigelo, Tulia Akson, wakina Prof kabudi, wakina kitila Mkumbo, na wengine weeengi ni watu waliofanya vizuri darasani, wewe unajidanganya kuwa ukipata GPA ndogo unaenda kuwa mtunga Sera, huo utafiti umeufanya wapi? ipi Mifano yako.