namanga-kitonga
JF-Expert Member
- Feb 4, 2020
- 679
- 744
Nyie ndio nchi inawategemea, ni ma-think tank. Achana na mi-GPA ya kwenye mikaratasi, haina uhalisia katika uchapakazi, weledi na ubunifu.Kwahyo wazeee wenzangu wa G.P.A ya 2.2 tu apply wapi
Kwenye mashirika mengi makubwa hawaangalii GPA bali uchapakazi, ubunifu na weledi.
Mfano wenzetu wa Kenya, Rwanda, Zimbabwe, Nigeria (ukiacha utapeli wao)n.k wako vizuri katika general knowledge badala ya academic knowledge(na mi-GPA yetu). Ndio maana wanapata kazi zaidi yetu kwa ku-appy knowledge waliyosomea badala based on academic results-GPA.
Kwa sasa hizi English Medium Schools ndio zinawafanya watoto wetu wa-compete na wenzao katika level za kimataifa.
NAPUMZIKA KIDOGO ILI NINYWE JUICE YA UKWAJU, KARIBUNI WAJUKUU ZANGU.