Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Chuo cha kibaguzi sana hiki lazima ufahamiane na mtuChuo Kikuu cha Dodoma kupitia utumishi kimetangaza nafasi 221 za ajira.
Watu mbalimbali wanatakiwa kujaza nafasi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Tutorial Assistants, assistant lecturers, lecturers, technicians, transcribers n.k katika fani mbalimbali.
Wenye sifa nafasi hii.
Hivi lilikuwa ni suala la muda tu au ndio MAMA ANAUPIGA MWINGI
PDF hii
Lakini selection si wanafanya utumishiChuo cha kibaguzi sana hiki lazima ufahamiane na mtu
Kama ni kuoitia utumishi basi hapo sawaLakini selection si wanafanya utumishi
YeahKama ni kuoitia utumishi basi hapo sawa
Kama GPA yako ni below 3.8, usijisumbue hata tangazo kusoma.Chuo Kikuu cha Dodoma kupitia utumishi kimetangaza nafasi 221 za ajira.
Watu mbalimbali wanatakiwa kujaza nafasi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Tutorial Assistants, assistant lecturers, lecturers, technicians, transcribers n.k katika fani mbalimbali.
Wenye sifa nafasi hii.
Hivi lilikuwa ni suala la muda tu au ndio MAMA ANAUPIGA MWINGI?
PDF hii
Wapo wenye zaidi ya hiyo, tena wengi tu.Kama GPA yako ni below 3.8, usijisumbue hata tangazo kusoma.
Sijajua wanatumia kigezo gani maana miaka ya karibuni Serikali iliridhia kushusha cut off points za GPA kwa teaching staff hadi 3.5Kama GPA yako ni below 3.8, usijisumbue hata tangazo kusoma.
Universities huwa ni 3.8 lakin hizi institutes ndio 3.5, we angalia matangazo yote utaonaSijajua wanatumia kigezo gani maana miaka ya karibuni Serikali iliridhia kushusha cut off points za GPA kwa teaching staff hadi 3.5
Hapana, mpaka use na 3.8 undergrad na 4.0 postgraduateWale ambao tuna GPA za 3.3 tunaruhusiwa kuomba?
Kwahyo wazeee wenzangu wa G.P.A ya 2.2 tu apply wapi
Vyuo vikuu vya serikali bado wanataka 3.8.Sijajua wanatumia kigezo gani maana miaka ya karibuni Serikali iliridhia kushusha cut off points za GPA kwa teaching staff hadi 3.5
Hata usijisumbue, hawachukui.Wale ambao tuna GPA za 3.3 tunaruhusiwa kuomba?
Wazee wa "gpa doesnt matter" mmeanza vurugu zenu.Sijajua wanatumia kigezo gani maana miaka ya karibuni Serikali iliridhia kushusha cut off points za GPA kwa teaching staff hadi 3.5
ππππππππππWazee wa "gpa doesnt matter" mmeanza vurugu zenu.
Wazee wa "gpa doesnt matter" mmeanza vurugu zenu.
Wazee wa "gpa doesnt matter" mmeanza vurugu zenu.
GPA ndio mdudu gani? Unakuta vichwani hawana chochote kuhusiana na utendaji.Haya mambo ya GPA kwa wenzetu less considered, wanachoangalia ni innovations, creativity, hardworking.Kama GPA yako ni below 3.8, usijisumbue hata tangazo kusoma.