Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro chatuhumiwa kutoa adhabu ya viboko kwa wanachuo

Hao wanafaulu kwenye shule za kikatoliki wamelifanyia nini taifa!!?...ufaulu wenyewe wa kuiba mitihani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi unajua nimecheka mno hapa? "Twende kazi"
Hahahahah sikuwezi.
Majibu yako tu,nayapendaga bureeeee

Wape mama[emoji1476]
 
Namuona ustaz ziyaul haq akiwaadabisha vijana safi sana ....chapa bakora hao...
 
Halafu mwanaume kabisa amelaza kalio chini achapwe, mimi ningerusha mkono kama tyson aisee hunichapi kizembe namna hiyo
 
Waswahili wameshindwa kukariri vitu ambavyo havina faida kwao eti wanadhalilishwa kwa kutojuwa baadhi ya haya. Waafrika sijuwi kwanini tunapenda kushabikia vitu visivyo na tija kwetu.
wewe umejuaje havina faida kwao?..
 
Hii taarifa yenyewe inaonekana haijathibishwa( inafanyiwa uchunguzi), na hata haionyeshi ilitokea lini.

Lakini pamoja na hivyo watu wamesharukia katika conclusion na mapovu yanawatoka kuonyesha ni kiasi gani wamejawa na chuki.

Lakini hata kama ni habari ya kweli, inaonyesha ni tukio la mara moja ambalo hata hatufahamu chanzo chake.

Ila pamoja na hivyo watu wameshafika mbaali kuutukana uislamu na kuwatoa akili waislamu kwa kosa la mtu mmoja.

Kwani hiyo serikali ya hao wanafunzi, inayokemea hilo tukio ni ya wakristo?

Tafuteni sababu za msingi(za kushambulia uislamu) lakini sio visingizio kama hivi.
 

(یُرِیدُونَ لِیُطۡفِـُٔوا۟ نُورَ ٱللَّهِ بِأَفۡوَ ٰ⁠هِهِمۡ وَٱللَّهُ مُتِمُّ نُورِهِۦ وَلَوۡ كَرِهَ
ٱلۡكَـٰفِرُونَ
Fain would they put out the light of Allah with their mouths, but Allah will perfect His light however much the disbelievers are averse..
swaf-8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…