Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) chamsimamisha Mhadhiri kwa tuhuma za ngono

Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) chamsimamisha Mhadhiri kwa tuhuma za ngono

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Chuo kikuu cha Dodoma kimeanzisha mchakato wa hatua za kinidhamu na maadili kulingana na Sheria na kanuni za utumishi wa umma.

UDOM imesema mtumishi Petro Bazil alisimamishwa majukumu yake tangu Oktoba 25, 2021 hadi uchunguzi utakapokamilika. Udom imesikitishwa na usumbufu uliojitokeza.

Pia, soma=> UDOM: Wanafunzi wamkamata mkufunzi anayewapa 'Sup' ili afanye nao ngono

UDOM Ngono.jpg
 
Aibu kubwa!

Mambo mengine kama mtu unaweza bora kuepuka hata japo tuhuma kwenye jamii hata itakuja kuthibitishwa vinginevyo.
Ni aibu sana, halafu nasikia kafumaniwa na wanafunzi. Sasa mtumishi mzima alishindwa hata kuchukua lodge inayoeleweka ambayo hawaruhusu haya mambo ya fumanizi ila inasemwa ukiwa mpuuzi kila ufanyalo litakuwa la kipuuzi tu
 
Kuchukua taratibu za kinidhamu ni sawa ila vipi kuhusu walidhurika na vitendo vya huyo mwanataaluma? Ni vema barua ingeweka wazi kwa wale walidhurika na vitendo vya kifasidi watapataje haki zao.
 
Mimi nashangaaga sana mtumishi ambaye ni kijana na sio mzee kupata msala wa ngono na mwanafunzi wake wa chuo.

Msomi mzima mwenye kazi yenye mshahara net around milion 2. Unashindwa kumtongoza binti under 25 akupe mwenyewe. Yaani huwezi kumpata binti uliyemzidi akili, pesa, umri na kila kitu mpaka umtishie kwa sup.

Wasomi mnakwama wapi kwenye kutongoza.

Mbona mishen town wa mtaani wanawala sana hao mabinti,, ama hata wafanyakazi wenye kazi zenye mshahara mdogo kama wafanyakazi wa kwenye branch za ma benk wanawala sana hao watoto bure.

Msomi mzima, yaani college girl huwezi kucheza na saikolojia yake mpaka akupe mwenyewe na bonus akupe kama akufulie na nguo na kukupikia
 
Kumsimamisha tu? 😳😳😳😳 Huyo ni wa kufukuza kazi.
Amesimamishwa wakati uchunguzi unaendelea. Mara baada ya uchunguzi kukamilika, hapo ndipo hatua stahiki zitachukuliwa kufuatana na maelekezo ya kanuni za utumishi.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kuchukua taratibu za kinidhamu ni sawa ila vipi kuhusu walidhurika na vitendo vya huyo mwanataaluma? Ni vema barua ingeweka wazi kwa wale walidhurika na vitendo vya kifasidi watapataje haki zao.
Hayo yatafahamika baada ya uchunguzi kukamilika. Kwa mfano huenda wakina dada waliodhurika ni wengi. Uchunguzi utabaini hilo.

Pia huenda wengine walikataa ombi wakafelishwa. Hao nao itabidi wafikiriwe wapozwe vipi. Ili mradi basi yote hayo ni baada ya uchunguzi kukamilika.
 
Hiyo iko hivi. Wanafunzi wa kike huwatongoza lecturer wa kiume, ikitokea katoa mchezo na halafu akadakwa tena ndiyo nongwa inaanzia hapo. Huyu mwanafunzi atakuwa kasapua mara ya pili au tatu kama siyo yeye basi kuna rafiki yake atakuwa kamtumia kama chambo.

Ila wanafunzi vyuoni ni watu wazima na kesi kama hii ikienda mahakamani haina mashiko ticha anaweza kushinda kwa sababu huyo msichana hayupo under age!
 
Hiyo iko hivi. Wanafunzi wa kike huwatongoza lecturer wa kiume, ikitokea katoa mchezo na halafu akadakwa tena ndiyo nongwa inaanzia hapo. Huyu mwanafunzi atakuwa kasapua mara ya pili au tatu kama siyo yeye basi kuna rafiki yake atakuwa kamtumia kama chambo. Ila wanafunzi vyuoni ni watu wazima na kesi kama hii ikienda mahakamani haina mashiko ticha anaweza kushinda kwa sababu huyo msichana hayupo under age!

Mwanamke ana nguvu sana mahakamani.

Huyo binti sio mjinga kuandaa mpaka watu wa kufumania.

Mabinti wa siku hizi wakiitwa ofisini tu na walimu wasio na hisia nao ama sehemu private na wakijua wanaenda tongozwa. Wanawasha voice recorder kwenye simu zao..

Na hata mahakamani wakisema walifosiwa sheria inawabeba
 
Chuo kikuu cha Dodoma kimeanzisha mchakato wa hatua za kinidhamu na maadili kulingana na Sheria na kanuni za utmishi wa umma...

Mkuu Replica salam kwako. Hivi huyu Petro Bazil si bado ni mtuhumiwa? Mbona hili tangazo limewekwa hadharani?

Anyway, labda uongozi wa UDOM umefumbia macho taratibu (Steps) za kinidhamu ILI kufikisha ujumbe Mzito kwa Wakufunzi au kuwafanya wanafunzi husika wasiendelee kuongea yale ambayo hawataki jamii kwa ujumla iyasikie.

Ahsante
 
Kuna Maproffesa hapo ni viwembe kwelikweli, pole yake adhabu ya kusimamishwa kazi kuna mawili hapo either kufutwa kazi ama kusamehewa ila kwa hili upepo unaniambia hapo atafutwa kazi ili iwe onyo kwa wengine.

Pole yake mwalimu..
 
Chuo kikuu cha Dodoma kimeanzisha mchakato wa hatua za kinidhamu na maadili kulingana na Sheria na kanuni za utmishi wa umma...
Mbona ma lecture wengi ni madomo zege ...huponea kwa vidada ambavyo havijielewi kwa kushikwa sup tu kamevua ngua. Harafu hao malecture tabia zao utaona kwenye milango ya ofisi zao ...

Tangazo
Muda wa consultation ni kuanzia saa 13:00 PM mpaka saa 18:00 sasa fatilia hiyo consultation wanakuwa wanapiga migegedo tu mabinti.

Ila jinsia ya kike inatabu kwenye Vyuo, ajira, bar, majumbani
 
Back
Top Bottom