Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) chamsimamisha Mhadhiri kwa tuhuma za ngono

Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) chamsimamisha Mhadhiri kwa tuhuma za ngono

Mimi nashangaaga sana mtumishi ambaye ni kijana na sio mzee kupata msala wa ngono na mwanafunzi wake wa chuo.

Msomi mzima mwenye kazi yenye mshahara net around milion 2. Unashindwa kumtongoza binti under 25 akupe mwenyewe. Yaani huwezi kumpata binti uliyemzidi akili, pesa, umri na kila kitu mpaka umtishie kwa sup...

Mkuu wewe acha tu yani kuna muda huwa naanza kuamini kwenye miti hakuna wajenzi mtu ana accessories za msingi ila anashindwa kuzitumia
 
Kuna Maproffesa hapo ni viwembe kwelikweli, pole yake adhabu ya kusimamishwa kazi kuna mawili hapo either kufutwa kazi ama kusamehewa ila kwa hili upepo unaniambia hapo atafutwa kazi ili iwe onyo kwa wengine.

Pole yake mwalimu..
Huyo hata akirudishwa atafundishaje na fedheha yote hio?labda aende kusoma akirudi astaafu
 
Mnavitetea hivi vibinti vya chuo nawashangaa!!!

Wako over 20 year wana maamuzi ya kukataa au kukubali

Huo ulikuwa ni mtego na ulifanywa makusudi tu kwa sababu maalumu
Kama alikataa akatishiwa kufelishwa au akafelishwa kweli huoni haki yake imepokwa hapo?
 
Chuo kikuu cha Dodoma kimeanzisha mchakato wa hatua za kinidhamu na maadili kulingana na Sheria na kanuni za utmishi wa umma...
Binti yako katoka Ishomile huko Muleba yupo Bikra anenda pigwa paip na lijamaa limeadhirika ngwengwe, inauma sana asee.

Ni wakati sasa serikali ipitishe sheria ya KUKATA UUME watu wanaofanya hivi.
 
Hili swala ilibidi TAKUKURU ihusike.

Afikishwe mahakamani.

Akikutwa na hatia chuo nacho kitatoa adhabu yake.
 
Na huyo aliyetaka kutoa rushwa kachukuliwa hatua gani? Au alifelishwa kwa hila ili aombwe rushwa?
 
Mambo mengine ni ya kujitakia tu. Halafu alivyo bwege, ameshindwa hata kufunga mlango!
Kama ni ile video... Probably pale Ni geto kwa demu... Na inavyoonekana jamaa walimuona hivyo wakavizia aingie ili nao waingie ili mfumanie... + Kisasi cha usaliti wa mapenzi (mahusiano)
 
Na huyo aliyetaka kutoa rushwa kachukuliwa hatua gani? Au alifelishwa kwa hila ili aombwe rushwa?
Kwa maelezo ya wahanga ni kwamba huyo jamaa amekuwa na tabia ya kuwafelisha kwa makusudi mabinti, halafu mwisho wa siku anawafaulisha kwa masharti ya kutoa rushwa ya ngono!

Hivyo hao mabinti wamejiongeza wenyewe kwa kumuwekea mtego na kumkamata akiwa katika mazingira hayo.
 
Kwa maelezo ya wahanga ni kwamba huyo jamaa amekuwa na tabia ya kuwafelisha kwa makusudi mabinti, halafu mwisho wa siku anawafaulisha kwa masharti ya kutoa rushwa ya ngono!

Hivyo hao mabinti wamejiongeza wenyewe kwa kumuwekea mtego na kumkamata akiwa katika mazingira hayo.
Ule haukuwa mtego... Angalia body language ya binti ambaye amefumaniwa naye... Sikiliza maneno ya wenzake... Ni dhahiri wamefumania ila haukuwa mtego
 
Leo mmetunanga kweli wahadhiri. Hapo hakuna kesi na hata kazi atahamishwa tu kwenda taasisi nyingine. Hakuna ushahidi wa kutumia Sapu na mara nyingi madai kama hayo huwa hayaungi. So binti achague mwenyewe atakachosema mahakamani au TAKUKURU.
 
Back
Top Bottom