Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,386
- 6,473
bado kuna chuo cha kata pale dodoma kinaitwa Mioango, hiki kuna kila aina za ushenzi na upuuzi mwingi unaofanywa na hawa wakufunzi,
wanafunzi wanaliwa sana, rushwa kwa sana, na ubambikiaji wa sup upo mwingi sana, yaan pale kufelishwa ni rahisi kama sisimizi kupenya kwenye tundu la sindano....
serkali ifanye kitu
wanafunzi wanaliwa sana, rushwa kwa sana, na ubambikiaji wa sup upo mwingi sana, yaan pale kufelishwa ni rahisi kama sisimizi kupenya kwenye tundu la sindano....
serkali ifanye kitu