Ni aibu sana, halafu nasikia kafumaniwa na wanafunzi. Sasa mtumishi mzima alishindwa hata kuchukua lodge inayoeleweka ambayo hawaruhusu haya mambo ya fumanizi ila inasemwa ukiwa mpuuzi kila ufanyalo litakuwa la kipuuzi tuAibu kubwa!
Mambo mengine kama mtu unaweza bora kuepuka hata japo tuhuma kwenye jamii hata itakuja kuthibitishwa vinginevyo.
Amesimamishwa wakati uchunguzi unaendelea. Mara baada ya uchunguzi kukamilika, hapo ndipo hatua stahiki zitachukuliwa kufuatana na maelekezo ya kanuni za utumishi.Kumsimamisha tu? 😳😳😳😳 Huyo ni wa kufukuza kazi.
Hayo yatafahamika baada ya uchunguzi kukamilika. Kwa mfano huenda wakina dada waliodhurika ni wengi. Uchunguzi utabaini hilo.Kuchukua taratibu za kinidhamu ni sawa ila vipi kuhusu walidhurika na vitendo vya huyo mwanataaluma? Ni vema barua ingeweka wazi kwa wale walidhurika na vitendo vya kifasidi watapataje haki zao.
Aibu sana kwa kweli...hapo udom walimu wachunguzwe sana
Hiyo iko hivi. Wanafunzi wa kike huwatongoza lecturer wa kiume, ikitokea katoa mchezo na halafu akadakwa tena ndiyo nongwa inaanzia hapo. Huyu mwanafunzi atakuwa kasapua mara ya pili au tatu kama siyo yeye basi kuna rafiki yake atakuwa kamtumia kama chambo. Ila wanafunzi vyuoni ni watu wazima na kesi kama hii ikienda mahakamani haina mashiko ticha anaweza kushinda kwa sababu huyo msichana hayupo under age!
Mzee umeongea kwa hisia kali sana jamaa😀.Mimi nashangaaga sana mtumishi ambaye ni kijana na sio mzee kupata msala wa ngono na mwanafunzi wake wa chuo...
Chuo kikuu cha Dodoma kimeanzisha mchakato wa hatua za kinidhamu na maadili kulingana na Sheria na kanuni za utmishi wa umma...
Mbona ma lecture wengi ni madomo zege ...huponea kwa vidada ambavyo havijielewi kwa kushikwa sup tu kamevua ngua. Harafu hao malecture tabia zao utaona kwenye milango ya ofisi zao ...Chuo kikuu cha Dodoma kimeanzisha mchakato wa hatua za kinidhamu na maadili kulingana na Sheria na kanuni za utmishi wa umma...