Lets Share
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 517
- 718
Mimi nashangaaga sana mtumishi ambaye ni kijana na sio mzee kupata msala wa ngono na mwanafunzi wake wa chuo.
Msomi mzima mwenye kazi yenye mshahara net around milion 2. Unashindwa kumtongoza binti under 25 akupe mwenyewe. Yaani huwezi kumpata binti uliyemzidi akili, pesa, umri na kila kitu mpaka umtishie kwa sup...
Kwa hyo utamu wa madent ndyo marupurupu ya ualimu!!!![emoji849]Marupurupu ya ualimu huwa ndo hayo ndugu..
Huyo hata akirudishwa atafundishaje na fedheha yote hio?labda aende kusoma akirudi astaafuKuna Maproffesa hapo ni viwembe kwelikweli, pole yake adhabu ya kusimamishwa kazi kuna mawili hapo either kufutwa kazi ama kusamehewa ila kwa hili upepo unaniambia hapo atafutwa kazi ili iwe onyo kwa wengine.
Pole yake mwalimu..
Kama alikataa akatishiwa kufelishwa au akafelishwa kweli huoni haki yake imepokwa hapo?Mnavitetea hivi vibinti vya chuo nawashangaa!!!
Wako over 20 year wana maamuzi ya kukataa au kukubali
Huo ulikuwa ni mtego na ulifanywa makusudi tu kwa sababu maalumu
Binti yako katoka Ishomile huko Muleba yupo Bikra anenda pigwa paip na lijamaa limeadhirika ngwengwe, inauma sana asee.Chuo kikuu cha Dodoma kimeanzisha mchakato wa hatua za kinidhamu na maadili kulingana na Sheria na kanuni za utmishi wa umma...
Tunaomba picha ya huyu bazaziTHURSDAY OCTOBER 28 2021
Dodoma. Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) kimemsimamisha kazi mhadhiri wa chuo hicho, Basil Mswahili kufanya majukumu yake yote ikiwa ni pamoja na kufundisha kwa tuhuma za rushwa ya ngono...
Na malipo yake ndio hayo sasa ayapokee tuMarupurupu ya ualimu huwa ndo hayo ndugu..
Kama ni ile video... Probably pale Ni geto kwa demu... Na inavyoonekana jamaa walimuona hivyo wakavizia aingie ili nao waingie ili mfumanie... + Kisasi cha usaliti wa mapenzi (mahusiano)Mambo mengine ni ya kujitakia tu. Halafu alivyo bwege, ameshindwa hata kufunga mlango!
Kwa maelezo ya wahanga ni kwamba huyo jamaa amekuwa na tabia ya kuwafelisha kwa makusudi mabinti, halafu mwisho wa siku anawafaulisha kwa masharti ya kutoa rushwa ya ngono!Na huyo aliyetaka kutoa rushwa kachukuliwa hatua gani? Au alifelishwa kwa hila ili aombwe rushwa?
Acha ufala wewe, angekuwa ndugu yako wa karibu ndiye anafanywa hayo ungeongea huu utumbo taulo?Marupurupu ya ualimu huwa ndo hayo ndugu..
Pole sana bro! jpm alikutendea mabaya sana ww na familia yako..siku nyingine jitahd kuwa na cheti halalii..ndo maisha hayooHiyo ni legacy ya Mwendazake ,hapo mhadhiri kaonewa wivu na Mabeberu yaliokuwa yanamnyatia mrembo
Kumbuka,wosia wa jiwe kwa Patrobas katambi
Kwani si alitamka hadharani kuwa Katambi na wengine wakatafute mabinti wazuri udom.Pole sana bro! jpm alikutendea mabaya sana ww na familia yako..siku nyingine jitahd kuwa na cheti halalii..ndo maisha hayoo
Ndiyo tabia zenuVp kama kale kadent kalimwaambia mwalimu " mwalimu nakupenda sana leo usiku husipokuja gheto najiua na kuacha barua"?, jamaa ana kosa gani hapo
Huyo ni mwehuUna Miaka mingapi?
Ule haukuwa mtego... Angalia body language ya binti ambaye amefumaniwa naye... Sikiliza maneno ya wenzake... Ni dhahiri wamefumania ila haukuwa mtegoKwa maelezo ya wahanga ni kwamba huyo jamaa amekuwa na tabia ya kuwafelisha kwa makusudi mabinti, halafu mwisho wa siku anawafaulisha kwa masharti ya kutoa rushwa ya ngono!
Hivyo hao mabinti wamejiongeza wenyewe kwa kumuwekea mtego na kumkamata akiwa katika mazingira hayo.
SemaChuo kikuu cha Dodoma kimeanzisha mchakato wa hatua za kinidhamu na maadili kulingana na Sheria na kanuni za utmishi wa umma.
UDOM imesema mtumishi Petro Bazil alisimamishwa majukumu yake tangu Oktoba 25, 2021 hadi uchunguzi utakapokamilika. Udom imesikitishwa na usumbufu uliojitokeza.
Pia, soma=> UDOM: Wanafunzi wamkamata mkufunzi anayewapa 'Sup' ili afanye nao ngono
View attachment 1989670