Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Kufuatia hoja iliyoibuliwa na Mdau wa JamiiForums.com kuwa Chuo Kukuu Huria cha Tanzania (OUT) kimekuwa na kawaida ya kuchelewesha matokeo ya mitihani, ufafanuzi umetolewa kutoka chuo.
Kusoma hoja ya Mdau, bonyeza hapa ~ Chuo Kuu Huria hakitoi kwa wakati matokeo ya Mitihani, tunalazimika kutoa pesa kujisajili upya bila kufahamu matokeo
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University of Tanzania - OUT), Adam Namamba amesema kwa kawaida Mitihani inapomalizika inachukua mwezi mmoja kabla ya kuanza kutoa matokeo.
Ameeleza “Nitolee mfano matokeo ya mitihani ya Desemba 2024, mitihani ilimalizika Desemba 20, ukiangalia kutoka wakati huo mpaka sasa ni mwezi mmoja umekamilika na siku kadhaa.
“Ukiangalia pia hapo kati kulikuwa na Sikukuu na changamoto za kadhaa za mwisho wa mwaka lakini bado kazi imefanyika na yanatarajiwa kuanza kutoka muda wowote kuanzia leo (Januari 27, 2025)
Kawaida mitihani inafanywa vituo vyote nchi nzima, inaweza kutokea ikatumia wiki moja kusafirishwa baad ayah apo zoezi la kusahihisha linaanza.”