Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

Prof Mmari ni kichwa. Recently nadhani amewahi kuwa VC wa Tumaini University Dar es salaam college
Prof. Mmari hakupelekwa OUT kama adhabu bali kwa uzoefu wake wa kuanzisha vitu. Kwa Historia ndiye alianzisha Shinyanga Sekondari, Sokoine na OUT
 
We jamaa mpuuzi acha uongo
Pole sana kama nimekugusa...

Ila huo ndio ukweli ...

Ufuatiliaji unahitajika sana..tena sana..haitakiwi tuongeze idadi ya nzoka na mazoba..

CHUO ni kizuri na ni msaada mzuri sana ila moja ya changamoto kubwa ni hiyo..wa waendeshaji wanapiga pesa mno mno na kuharibu sifa za chuo!
Elimu ni kitu sensitive mno duniani kote sasa ukiibaka namna hiyo ni kuharibu nguvu kazi ya taifa na tutakuwa na .mabumla wengi mfano wa wewe..unayekurupuka kujibu kwa mihemko ..umeshindwa hata kufikiri mara mbili.. .


Kama na wewe ni mmoja wao tafadhali acha ... Degree za kubumba zitakupelekesha sana...maana hutofit popote...


Wapo tunawaona... Na ndio wanafanya chuo kidharaulike!!
 
Mkuu punguza hasira amesema tu.
Mrekebishe kama kakosea
Sijasema tu...

Ukweli ndio huo...


Wahusika wenye uelewa usio wa kubumba watahesabu kuwa ni moja ya changa moto na wataifanyia kazi..
Nia ni kuendeleza na sio kubomoa..

Lipi baya nililoandika hapa?

Wanufaika na hili watajitokeza wengi tu....

Shida ya kupaka rangi upepo ndio hii mkuu...
 
Mpuuzi huyu. OUT ina material ya nguvu na ya kutosha ndio wauze mitihani? Unasoma mwenyewe na kuelewa. Hizo campus college zao zinaongoza kwa degree za ngono mbona hasemi
Hapa sasa ndio nimekuelewa ni jinsi gani ulivyo box tupu...upstairs...

Ndio wale wale... Umekwenda chaka wewe...

Sikusema chuo kinauza mitihani...

Nimesema watendaji...yaani waajiriwa ...ndio waharibifu..ni sawa na yanayotendeka vyuo au sehemu nyingine..

Hao watendaji si.malaika ni binaadamu ..wana tabia zote..
Kuhusu ngono ..sichangii lolote maana hapa tumeongelea chuo ..na watendaji hizo tabia binafsi za watu hazihusu hapa!

Pole sana ..yale yale...

Wenye akili na uelewa khasa watafahamu nini naongea...

Endelea kuhemka... Sikulaumu inaweza kuwa na wewe ni muathirika wa hilo..lazima upagawe..

Ukweli ndio huo...

Wapuuzi hata kwenu wapo mkuu na mmoja wapo ni wewe... ! Tatizo hujijui na hujielewi kama na wewe ndio wale wale...
Bobo!

Hakuna sababu za kuvuruga nia na madhumuni ya hii thread ..kwa kuleta hoja/ ubishani mfu ... ....

Akili kumkichwa...

Utanisamehe mkuu... Kama nimekukwaza kwa hilo...ndio tumo katika kujenga...tunaangalia kote..

Hutaki acha ....

Kama na wewe ni muajiriwa wa Open ..na unafanya mbunguu hizo ..nakuomba uache ..unaharibu sifa ya chuo na nguvu kazi...ya taifa!
 
Nahis hiz nizamuhimu zisiwe ngazi ya chuo tu bali zifundishwe kuanzia primary school kama moja ya somo had ngaz za juu za elimu iwe ni moja ya modules vyuoni.
Naunga mkono hoja mkuu....

Ingesaidia maana tatizo hilo lipo sana ..
 
We bwege hujui lolote. Ungejua juu ya nondo nilizonazo usingejibu. OuT inadharaulika.?
 
🙏🙏🙏Sawa mkuu nimekuelewa
 
Niliomba na kupata admission mwaka jana ila kutokana na changamoto binafsi sikuripoti kabisa, je nikitaka kuhuisha selection yangu natakiwa nifanyeje?
 
Niliomba na kupata admission mwaka jana ila kutokana na changamoto binafsi sikuripoti kabisa, je nikitaka kuhuisha selection yangu natakiwa nifanyeje?
Nenda regional centre ulio jiandikishia watakwenda kuactivate account yako au namba yako ya usajili au kama kuna maelekezo watakuambia open raha sana karibu mkuuu
 
Hivi kwa hapa Tanzania Kuna chuo gani kingine kinatoa course kwa mfumo wa distance learning? Zaidi ya OUT? Nna ndoto za kuendelea kusoma lkn sio kwa OUT Tena.
 
Mkuu Emmanuel Kasomi wanaotakiwa kusoma hapo ni wenye sifa gani??

Kwa mfano mtu alimaliza certificate ila bado hajaajiriwa anaruhusiwa kusoma diploma hapo??
 
Mkuu Emmanuel Kasomi wanaotakiwa kusoma hapo ni wenye sifa gani??

Kwa mfano mtu alimaliza certificate ila bado hajaajiriwa anaruhusiwa kusoma diploma hapo??
Ndiyo mkuu unasoma,
Pia inamuwezesha mtu kusoma masomo ya mbali (Distance learning) kwahiyo kwa yeyote mwenye sifa anaweza kusoma.
 
Hivi kwa hapa Tanzania Kuna chuo gani kingine kinatoa course kwa mfumo wa distance learning? Zaidi ya OUT? Nna ndoto za kuendelea kusoma lkn sio kwa OUT Tena.
Kwann sio OUT tena?!! au lengo ni kubadili chuo tu as well as Gamba
 
Hivi kwa hapa Tanzania Kuna chuo gani kingine kinatoa course kwa mfumo wa distance learning? Zaidi ya OUT? Nna ndoto za kuendelea kusoma lkn sio kwa OUT Tena.
Jaribu kufuatilia udsm kama wana everning class
 
[emoji120].ngoja nichakalike nianze kuandaa ka Cv kangu ka uzeeni,Kuna course niliiona kwa hawa OUT, degree ya general science na master's yake pia.kama ipo ngoja nikakomae nayo ,itafanya ka cv kangu ka uzeeni kawe na mvuto .
 
Wakuu kuna dogo kaniuliza sehemu flani anaomba ushauri kwamba anaitaji kusoma masters yeye ni mwalimu sasa anataka kujiendeleza hivyo basi kaniuliza ipi masters yenye fulsa katika upande wake na ni mwajiwa kwa baadae 1:Masters of education. 2:.....of adminstration,planning,policy and study. 3:Masters of curriculum designing and development. 4:Masters of quality education and management nimeingilia post ya mtu ila naomba ushauli kwa wajuzi zaid
 
Mwambie apige hiyo namba 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…