Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

Hiyo kozi ya foundation hua inachukia muda GANI??

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Foundation course inaanza wakati wowote au Kuna muda maalum?? Ni kipindi gani Cha mwaka?

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Hapa ndani tunakichukulia poa ila ukiwa nje ya mipaka ya Tanzania ni chuo chenye sifa na heshima kubwa sana
Sidhani km kinachukuliwa powa, ni mtazamo wa baadhi tuu. Kinaheshimika vizuri tuu.

Binafsi nakiona kiko bora sana. Ile flexibility inasaidia sana kuongeza umahiri wa Wanafunzi. Ukiona somo flani bado hajalimudu sawasawa, mwenyewe haujisajiri kulifanyia mtihani mpaka utakapojitathimini na kuona umelimudu.
 
Hivi wanafunzi wanaohitimu OUT wananufaika na mikopo ya elimu ya juu?
 
Dar es Salaam ofisi zao zipo wapi kwa anaefahamu humu anisaidie,
Pia Kama Kuna contact zao nisaidiwe hapa niwatafute moja kwa moja
 
Ukiwa OUT kwa mda huo hutopata mkopo.
Seems like umeshaajiriwa.
Yaani kwa wale wa foundation wakishamaliza kwa ajili ya kujiunga na chuo kikuu wanakuwa considered kwenye bodi ya mikopo?
 
Yaani kwa wale wa foundation wakishamaliza kwa ajili ya kujiunga na chuo kikuu wanakuwa considered kwenye bodi ya mikopo?
Wakiwa na sifa stahiki
 
Nimefanya bachelor yangu Open
Nasema wapo vizuri sanaaa
Kinachoibeba ni idara ya research, wamedigitize na zinakua cited worldwide
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…