1. Katika historia ya Tanzania, hakuna kipindi ambacho demokrasia imekanyagwa kama kipindi hiki cha Rais samia. Dunia ya leo base kubwa ya uogozi bora inapimwa na demokrasia katika utawala husika
2. Haki za binadamu zimmekanyagwa kuliko kipindi chochote kila hata kuzidi kipindi cha mtangulizi wake
3. Rushwa imekithiri kuliko kipindi chochote kile katika historia ya taifa hili
4. Mauaji, utekaji, upotezwaji watu etc etc, vimeweka rekodi ya juu kuzidi hata mtagulizi wake
5. Yanayondelea katika chaguzi za sasa ambayo by necessary implication, yanaonekana yana baraka zake ni tosha kum disqualify kutopata heshima mliyompa!
Sasa Udakrari wa heshima ya UONGOZI aliyopewa rais , mmetumia vigezo gani kumpa heshima hiyo?
Pia soma - Chuo Kikuu Mzumbe chamtunukia Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi