Chuo Kikuu Mzumbe mmetumia vigezo gani kumtunukuku Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi?

degree za kupewa huwa znanyang'anywa wakati wowote ikithibitika utolewaji wake ulikuwa batili.
na hii itakuja kufutwa huko mbele chuo kikpata watu makini wasio machawa
 
Hujui unachoongea Bwashee

Elimu ya nchi yoyote inalindwa kisiasa ndio sababu Wakuu wa vyuo ni Wanasiasa

Unadhani kwanini Mitihani ya mwisho huwa hairudishwi? 🐼😂
Una akili matope! John, sometimes kuwa serious na unachokiandika...
 
.
 
1. Katika historia ya Tanzania, hakuna kipindi ambacho demokrasia imekanyagwa kama kipindi hiki cha Rais samia. Dunia ya leo base kubwa ya uogozi bora inapimwa na demokrasia katika utawala husika

2. Haki za binadamu zimmekanyagwa kuliko kipindi chochote kila hata kuzidi kipindi cha mtangulizi wake

3. Rushwa imekithiri kuliko kipindi chochote kile katika historia ya taifa hili

4. Mauaji, utekaji, upotezwaji watu etc etc, vimeweka rekodi ya juu kuzidi hata mtagulizi wake

5. Yanayondelea katika chaguzi za sasa ambayo by necessary implication, yanaonekana yana baraka zake ni tosha kum disqualify kutopata heshima mliyompa!

Sasa Udakrari wa heshima ya UONGOZI aliyopewa rais , mmetumia vigezo gani kumpa heshima hiyo?

Pia soma - Chuo Kikuu Mzumbe chamtunukia Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi
Hivi hizi shahada za heshima kwanini huwa wanapewa zaidi viongozi wa kisiasa tu hapa Tanzania kuliko watu wengine mahiri kama viongozi wa kibiashara, kidini su kijamii.
 
Mbona unaongea siasa na hisaia badala ya facts? Weka ushahidi wa ukiyoongea na Mimi nikupe vinginevyo.

Mfano Transparency International inasema Tanzania ni ya Pili nyuma ya Rwanda Kwa kupambana na Rushwa

Shirika la Wanahabari wa Kimataifa linasema Tanznaia inaongoza Kwa uhuru wa habari Afrika Mashariki.

On top of that Tanzania inaongoza Kwa Demokrasia hapa hapa Afrika Mashariki

Mwisho kwenye nyanya ya Uongozi wa maendeleo,Tanznaia ni Kati ya Nchi 10 za Afrika ambazo zinaongoza Kwa ukuaji wa Uchumi.

Huwa siongei porojo,soma hapa ripoti ya BoT ya mwezi wa 10 uone jinsi mauzo ya Nje yalivyoongezeka,Utalii,Kilimo nk 👇👇

View: https://x.com/SalumAwadh/status/1860937961270837581?t=XnkiDwp4ESxY_VFyqWL4mw&s=19

So acha chuki na wivu wa kijinga, sababu zimetolewa unless hutaki kuzielewa 😁😁

Hakuna namna utamtenganisha Samia na mafanikio makubwa ya Tanzania kwenye nyanja zote Kwa Kupitia sera yake ya 4R na kufungua Nchi.👇👇

View: https://x.com/BusInsiderSSA/status/1859882195642388971?t=kgBDkeiBo7PFYg2YtECnfg&s=19

Nionyeshe wapi Wakenya wamempa RUTO hizi degree hewa kama Sa100?
 
Aisee kama nchi za wenzetu wangekuwa waendekeza siasa kwenye elimu yao? Leo hii wangekuwa giants wa uchumi, uvumbuzi na science?
Naongelea US, akina CHina, europe? Wangekwua wanaendekeza siasa kwenye elimu wangekuwa hapo?
Kwani Wewe Siasa unaitafsiri vipi bwashee?

Kuna tofauti ya kutosha tu Kati ya Siasa na Vyama vya Siasa 😀
 
Nionyeshe wapi Wakenya wamempa RUTO hizi degree hewa kama Sa100?
Wampe kwa kipi alichofanya huyo Ruto? Ndio kwanza wanaona mda unachoelewa wamtoe.

Rudi kwenye mada,wewe si umeuliza sababu Sasa ukipewa sababu elewa kama hutaki kuelewa Baki na sababu zako kichwani usituulize.

Alama hizi haijawahi wekwa na yeyote hapa Tanzania kabla ya Samia.Vipi Rais wa hivi ungependa umpe nini? 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DCgH54utd1Q/?igsh=MTJkazNmcDhuOWZ1ZQ==
Screenshot_20241119-124113.jpg
 
Wasomi ndio wamekuwa wapumbavu wa kwanza na wananchi jamii ya maamuma ndio wamekuwa werevu
Acheni kutukana msichokijua!!

Ni tangu lini dola imekipa Chama cha upinzani baraka za kushika dola!!?

Nccr mageuzi ya 1995 na chadema 2015 zilipata baraka za Dola kushika dola hasta baada ya kupata kura nyingi!!?

Hadi Sasa Chama chenye baraka ya kushika Dola ni CCM Sasa ni jukumu la dola kuhakikisha wanaoshika Dola ni watu waadilifu sio wahuni wanaovunja sheria!!

Kama Dola imeacha wahuni washike ni rasmi Dola yenyewe imefeli!!
 
1. Katika historia ya Tanzania, hakuna kipindi ambacho demokrasia imekanyagwa kama kipindi hiki cha Rais samia. Dunia ya leo base kubwa ya uogozi bora inapimwa na demokrasia katika utawala husika

2. Haki za binadamu zimmekanyagwa kuliko kipindi chochote kila hata kuzidi kipindi cha mtangulizi wake

3. Rushwa imekithiri kuliko kipindi chochote kile katika historia ya taifa hili

4. Mauaji, utekaji, upotezwaji watu etc etc, vimeweka rekodi ya juu kuzidi hata mtagulizi wake

5. Yanayondelea katika chaguzi za sasa ambayo by necessary implication, yanaonekana yana baraka zake ni tosha kum disqualify kutopata heshima mliyompa!

Sasa Udakrari wa heshima ya UONGOZI aliyopewa rais , mmetumia vigezo gani kumpa heshima hiyo?

Pia soma - Chuo Kikuu Mzumbe chamtunukia Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi
Samia anapenda sana sifa na machawa yanatumia mwanya huo kujitafutia teuzi
 
Kwani Wewe Siasa unaitafsiri vipi bwashee?

Kuna tofauti ya kutosha tu Kati ya Siasa na Vyama vya Siasa 😀
Nimekuuliza simple facts, giants huko duniani wanaendekeza siasa kama huku? Je wangeendekeza wangekuwa hapo walipo?
 
Kwani Wewe wanavyokuuzia Elimu yao unadhani hiyo siyo Siasa? 😂

Wao wanailinda Elimu yao kisiasa ndio sababu Wewe utaishia kutengeneza Mo Cola na Siyo Coca cola

Hata Sisi tunao wanasayansi wa Viwango hivyo Lakini Sayansi imebinafsishwa kwao kisiasa

Sidhani kama utaelewa 😂😂
 
Mtu yoyote anayejipa vyeo asivyostahili huwa kwanza ni dalili kubwa ya kutojiamini hivyo anajaza vyeo ili aogopwe.

Ukweli usemwe Samia uwezo wake shuleni ulikuwa mdogo waseme ukweli sio kumdhalilisha bali itasaidia ajiamini katika uwezo wake huo huo mdogo.

Angalia vyeo hivi vya watu wanaotaka kuogopwa kutokana na kutojiamini.

Ndio maana mara avae magwanda na anatamani gwanda liwe na medali lukuki kama huyu yote hiyo ni kuogopwa na sio kuheshimiwa.

Mimi siwezi kumwita Samia Dr hata siku moja labda siku akipata shahada ya darasani.

Medals of his Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hajj Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of all the Beasts of the Earth and Fishes of the Sea and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular.​

84j1l5yhskn81.jpg
 
Nduli aliomba ndondi za Mtu mbili ulingoni yeye na mwalimu 😂😂😂
 
Inapofikia hata wanaojiita wasomi wanaacha kufanya critical analysis wannajiunga na ART ya propaganda rahisi kama za machawa..basi elimu imekuwa challenged sana
 
Mtu yoyote anayejipa vyeo asivyostahili huwa kwanza ni dalili kubwa ya kutojiamini hivyo anajaza vyeo ili aogopwe.

Ukweli usemwe Samia uwezo wake shuleni ulikuwa mdogo waseme ukweli sio kumdhalilisha bali itasaidia ajiamini katika uwezo wake huo huo mdogo.

Angalia vyeo hivi vya watu wanaotaka kuogopwa kutokana na kutojiamini.

Ndio maana mara avae magwanda na anatamani gwanda liwe na medali lukuki kama huyu yote hiyo ni kuogopwa na sio kuheshimiwa.

Mimi siwezi kumwita Samia Dr hata siku moja labda siku akipata shahada ya darasani.

Medals of his Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hajj Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of all the Beasts of the Earth and Fishes of the Sea and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular.​

84j1l5yhskn81.jpg
EXACTLY,"MAVYEO", MANYOTA, KUTOJIAMINI KUTAFUTA KUOGOPWA, KUTAFUTA KUTAMBULIWA......
 
1. Katika historia ya Tanzania, hakuna kipindi ambacho demokrasia imekanyagwa kama kipindi hiki cha Rais samia. Dunia ya leo base kubwa ya uogozi bora inapimwa na demokrasia katika utawala husika

2. Haki za binadamu zimmekanyagwa kuliko kipindi chochote kila hata kuzidi kipindi cha mtangulizi wake

3. Rushwa imekithiri kuliko kipindi chochote kile katika historia ya taifa hili

4. Mauaji, utekaji, upotezwaji watu etc etc, vimeweka rekodi ya juu kuzidi hata mtagulizi wake

5. Yanayondelea katika chaguzi za sasa ambayo by necessary implication, yanaonekana yana baraka zake ni tosha kum disqualify kutopata heshima mliyompa!

Sasa Udakrari wa heshima ya UONGOZI aliyopewa rais , mmetumia vigezo gani kumpa heshima hiyo?

Pia soma - Chuo Kikuu Mzumbe chamtunukia Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi
Huu ni miongoni mwa nyuzi Kabambe za JF
 
Back
Top Bottom