Nionyeshe wapi Wakenya wamempa RUTO hizi degree hewa kama Sa100?
It’s Dr. William Ruto now: Deputy President graduates with a PhD
Ruto amepitia mchakato rasmi wa kupata PhD yake na ametumia miaka 6 , na pia alishindwa kuikamilisha kwa miaka iliyopangwa baada ya kushindwa kufika vigezo vya kupewa shahada hiyo pia jina la tasnifu yake lipo.
Sasa hawa kunguni wa mama watueleze tasnifu ya Samia ipo wapi na ilihusu nini.