Chuo Kikuu Mzumbe mmetumia vigezo gani kumtunukuku Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi?

degree za kupewa huwa znanyang'anywa wakati wowote ikithibitika utolewaji wake ulikuwa batili.
na hii itakuja kufutwa huko mbele chuo kikpata watu makini wasio machawa
 
Hujui unachoongea Bwashee

Elimu ya nchi yoyote inalindwa kisiasa ndio sababu Wakuu wa vyuo ni Wanasiasa

Unadhani kwanini Mitihani ya mwisho huwa hairudishwi? πŸΌπŸ˜‚
Una akili matope! John, sometimes kuwa serious na unachokiandika...
 
.
Your browser is not able to play this audio.
 
Hivi hizi shahada za heshima kwanini huwa wanapewa zaidi viongozi wa kisiasa tu hapa Tanzania kuliko watu wengine mahiri kama viongozi wa kibiashara, kidini su kijamii.
 
Nionyeshe wapi Wakenya wamempa RUTO hizi degree hewa kama Sa100?
 
Aisee kama nchi za wenzetu wangekuwa waendekeza siasa kwenye elimu yao? Leo hii wangekuwa giants wa uchumi, uvumbuzi na science?
Naongelea US, akina CHina, europe? Wangekwua wanaendekeza siasa kwenye elimu wangekuwa hapo?
Kwani Wewe Siasa unaitafsiri vipi bwashee?

Kuna tofauti ya kutosha tu Kati ya Siasa na Vyama vya Siasa πŸ˜€
 
Nionyeshe wapi Wakenya wamempa RUTO hizi degree hewa kama Sa100?
Wampe kwa kipi alichofanya huyo Ruto? Ndio kwanza wanaona mda unachoelewa wamtoe.

Rudi kwenye mada,wewe si umeuliza sababu Sasa ukipewa sababu elewa kama hutaki kuelewa Baki na sababu zako kichwani usituulize.

Alama hizi haijawahi wekwa na yeyote hapa Tanzania kabla ya Samia.Vipi Rais wa hivi ungependa umpe nini? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DCgH54utd1Q/?igsh=MTJkazNmcDhuOWZ1ZQ==
 
Wasomi ndio wamekuwa wapumbavu wa kwanza na wananchi jamii ya maamuma ndio wamekuwa werevu
Acheni kutukana msichokijua!!

Ni tangu lini dola imekipa Chama cha upinzani baraka za kushika dola!!?

Nccr mageuzi ya 1995 na chadema 2015 zilipata baraka za Dola kushika dola hasta baada ya kupata kura nyingi!!?

Hadi Sasa Chama chenye baraka ya kushika Dola ni CCM Sasa ni jukumu la dola kuhakikisha wanaoshika Dola ni watu waadilifu sio wahuni wanaovunja sheria!!

Kama Dola imeacha wahuni washike ni rasmi Dola yenyewe imefeli!!
 
Samia anapenda sana sifa na machawa yanatumia mwanya huo kujitafutia teuzi
 
Kwani Wewe Siasa unaitafsiri vipi bwashee?

Kuna tofauti ya kutosha tu Kati ya Siasa na Vyama vya Siasa πŸ˜€
Nimekuuliza simple facts, giants huko duniani wanaendekeza siasa kama huku? Je wangeendekeza wangekuwa hapo walipo?
 
Nimekuuliza simple facts, giants huko duniani wanaendekeza siasa kama huku? Je wangeendekeza wangekuwa hapo walipo?
Kwani Wewe wanavyokuuzia Elimu yao unadhani hiyo siyo Siasa? πŸ˜‚

Wao wanailinda Elimu yao kisiasa ndio sababu Wewe utaishia kutengeneza Mo Cola na Siyo Coca cola

Hata Sisi tunao wanasayansi wa Viwango hivyo Lakini Sayansi imebinafsishwa kwao kisiasa

Sidhani kama utaelewa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mtu yoyote anayejipa vyeo asivyostahili huwa kwanza ni dalili kubwa ya kutojiamini hivyo anajaza vyeo ili aogopwe.

Ukweli usemwe Samia uwezo wake shuleni ulikuwa mdogo waseme ukweli sio kumdhalilisha bali itasaidia ajiamini katika uwezo wake huo huo mdogo.

Angalia vyeo hivi vya watu wanaotaka kuogopwa kutokana na kutojiamini.

Ndio maana mara avae magwanda na anatamani gwanda liwe na medali lukuki kama huyu yote hiyo ni kuogopwa na sio kuheshimiwa.

Mimi siwezi kumwita Samia Dr hata siku moja labda siku akipata shahada ya darasani.

Medals of his Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hajj Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of all the Beasts of the Earth and Fishes of the Sea and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular.​





 
Nduli aliomba ndondi za Mtu mbili ulingoni yeye na mwalimu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Inapofikia hata wanaojiita wasomi wanaacha kufanya critical analysis wannajiunga na ART ya propaganda rahisi kama za machawa..basi elimu imekuwa challenged sana
 
EXACTLY,"MAVYEO", MANYOTA, KUTOJIAMINI KUTAFUTA KUOGOPWA, KUTAFUTA KUTAMBULIWA......
 
Huu ni miongoni mwa nyuzi Kabambe za JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…