Nionyeshe wapi Wakenya wamempa RUTO hizi degree hewa kama Sa100?
degree za kupewa huwa znanyang'anywa wakati wowote ikithibitika utolewaji wake ulikuwa batili.
Acha wivu wa kike mlevi wew!1. Katika historia ya Tanzania, hakuna kipindi ambacho demokrasia imekanyagwa kama kipindi hiki cha Rais samia. Dunia ya leo base kubwa ya uogozi bora inapimwa na demokrasia katika utawala husika
2. Haki za binadamu zimmekanyagwa kuliko kipindi chochote kila hata kuzidi kipindi cha mtangulizi wake
3. Rushwa imekithiri kuliko kipindi chochote kile katika historia ya taifa hili
4. Mauaji, utekaji, upotezwaji watu etc etc, vimeweka rekodi ya juu kuzidi hata mtagulizi wake
5. Yanayondelea katika chaguzi za sasa ambayo by necessary implication, yanaonekana yana baraka zake ni tosha kum disqualify kutopata heshima mliyompa!
Sasa Udakrari wa heshima ya UONGOZI aliyopewa rais , mmetumia vigezo gani kumpa heshima hiyo?
Pia soma - Chuo Kikuu Mzumbe chamtunukia Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi
UCHAWA hadi kwenye taasisi muhimu. Bora kusoma vyuo vinavyojielewa si vinavyoendeleza UCHAWA1. Katika historia ya Tanzania, hakuna kipindi ambacho demokrasia imekanyagwa kama kipindi hiki cha Rais samia. Dunia ya leo base kubwa ya uogozi bora inapimwa na demokrasia katika utawala husika
2. Haki za binadamu zimmekanyagwa kuliko kipindi chochote kila hata kuzidi kipindi cha mtangulizi wake
3. Rushwa imekithiri kuliko kipindi chochote kile katika historia ya taifa hili
4. Mauaji, utekaji, upotezwaji watu etc etc, vimeweka rekodi ya juu kuzidi hata mtagulizi wake
5. Yanayondelea katika chaguzi za sasa ambayo by necessary implication, yanaonekana yana baraka zake ni tosha kum disqualify kutopata heshima mliyompa!
Sasa Udakrari wa heshima ya UONGOZI aliyopewa rais , mmetumia vigezo gani kumpa heshima hiyo?
Pia soma - Chuo Kikuu Mzumbe chamtunukia Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi
Muulize mama yako kama mimi nalewa, atakwambia kuwa naweza kila kitu huwa sionji pombeAcha wivu wa kike mlevi wew!
Unga unadumaza akili, peleka mchele.Nchi ngumu sana hii,utaumiza kichwa tu...tupambane tupelekee familia unga na mboga
Ungesikiliza Tawasifu iliyosomwa na Prof.Cyiriacus Stanslaus Binamungu (Phd) ungepata jawabu la kwa nini Mama katunukiwa Shahada ya uzamivu ya heshima👍👍🤣1. Katika historia ya Tanzania, hakuna kipindi ambacho demokrasia imekanyagwa kama kipindi hiki cha Rais samia. Dunia ya leo base kubwa ya uogozi bora inapimwa na demokrasia katika utawala husika
2. Haki za binadamu zimmekanyagwa kuliko kipindi chochote kila hata kuzidi kipindi cha mtangulizi wake
3. Rushwa imekithiri kuliko kipindi chochote kile katika historia ya taifa hili
4. Mauaji, utekaji, upotezwaji watu etc etc, vimeweka rekodi ya juu kuzidi hata mtagulizi wake
5. Yanayondelea katika chaguzi za sasa ambayo by necessary implication, yanaonekana yana baraka zake ni tosha kum disqualify kutopata heshima mliyompa!
Sasa Udakrari wa heshima ya UONGOZI aliyopewa rais , mmetumia vigezo gani kumpa heshima hiyo?
Pia soma - Chuo Kikuu Mzumbe chamtunukia Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi
Haijawahi kutokea nchini mwetu. Kuanzia awamu ya kwanza mpaka zitakazofuatia.na hii itakuja kufutwa huko mbele chuo kikpata watu makini wasio machawa
Nimesikia yote, Binamungu ni mpuuzi mkubwa pale Mzumbe! I am very conversant with him! Anawatesa wanafunzi sana na kuwafelisha, ana sifa hiyo hapo Mzumbe, Umwamba, majivuno ya wa Nshomile wa Kahaya! Ni chawa wa kutupa!Ungesikiliza Tawasifu iliyosomwa na Prof.Cyiriacus Stanslaus Binamungu (Phd) ungepata jawabu la kwa nini Mama katunukiwa Shahada ya uzamivu ya heshima👍👍🤣
Baba wa Taifa Mel.Julius k.Nyerere alikataa hayo mambo ya kishenzi ,mzee Wetu Ally hassan Mwinyi na Mzee wetu mkapa halo kadhalika walikataa,achilia John Magufuli ambaye alisomea na kusotea darasani.Sifa ya Mwanamke ni kupenda sifa na watu wote wenye character hiyo ya mwanamke walibandikwa na wameendelea kubandikwa udokta FEKI na wamekubali wakidhani ndio utendaji kazi ili hali ni wachovu wa kupitiliza ndani ya vichwa vyao.1. Katika historia ya Tanzania, hakuna kipindi ambacho demokrasia imekanyagwa kama kipindi hiki cha Rais samia. Dunia ya leo base kubwa ya uogozi bora inapimwa na demokrasia katika utawala husika
2. Haki za binadamu zimmekanyagwa kuliko kipindi chochote kila hata kuzidi kipindi cha mtangulizi wake
3. Rushwa imekithiri kuliko kipindi chochote kile katika historia ya taifa hili
4. Mauaji, utekaji, upotezwaji watu etc etc, vimeweka rekodi ya juu kuzidi hata mtagulizi wake
5. Yanayondelea katika chaguzi za sasa ambayo by necessary implication, yanaonekana yana baraka zake ni tosha kum disqualify kutopata heshima mliyompa!
Sasa Udakrari wa heshima ya UONGOZI aliyopewa rais , mmetumia vigezo gani kumpa heshima hiyo?
Pia soma - Chuo Kikuu Mzumbe chamtunukia Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi
1. Katika historia ya Tanzania, hakuna kipindi ambacho demokrasia imekanyagwa kama kipindi hiki cha Rais samia. Dunia ya leo base kubwa ya uogozi bora inapimwa na demokrasia katika utawala husika
2. Haki za binadamu zimmekanyagwa kuliko kipindi chochote kila hata kuzidi kipindi cha mtangulizi wake
3. Rushwa imekithiri kuliko kipindi chochote kile katika historia ya taifa hili
4. Mauaji, utekaji, upotezwaji watu etc etc, vimeweka rekodi ya juu kuzidi hata mtagulizi wake
5. Yanayondelea katika chaguzi za sasa ambayo by necessary implication, yanaonekana yana baraka zake ni tosha kum disqualify kutopata heshima mliyompa!
Sasa Udakrari wa heshima ya UONGOZI aliyopewa rais , mmetumia vigezo gani kumpa heshima hiyo?
Pia soma - Chuo Kikuu Mzumbe chamtunukia Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi
Baba utolewaji huu ni zaidi ya batili,Siku zitafika degree hizi tutazirudisha kwa waliosotea darasani na si kwa washenzi kama hawa wanaogawa na wanaopokea rushwa kama hizi za wazi wazi,Alafu ndio wapumbavu na washenzi wanasema nchi ina Rais hii,sasa huyu mpuuzi atasimamia maadili gani kama anaonekana akipokea rushwa wazi mbele ya umma wa watanzania.degree za kupewa huwa znanyang'anywa wakati wowote ikithibitika utolewaji wake ulikuwa batili.
Maprofesa utopolo bin mchongo = 0Nchi hii ukitafuta meritocracy ndugu yangu utaugua tu! Waliompa wenyewe wanashikilia uprof unaamini wanaqualify? Tatizo ndio linapoanzia
You are not informed and definitely not knowledgeable!Kama msukuma alitunukiwa udaktari inashindika vp asipewe na samia tena rais wa jamhuri na yamuungano tena ya kitanzania.
kiingereze chake please -Tasnifutasnifu