Chuo Kikuu Mzumbe mmetumia vigezo gani kumtunukuku Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi?

Nchi hii ukitafuta meritocracy ndugu yangu utaugua tu! Waliompa wenyewe wanashikilia uprof unaamini wanaqualify? Tatizo ndio linapoanzia
The majority, if not all, have no qualification to be called professors or academic professors for that matter!
 
Boss hanuniwi.
 
Wivu tu. Sema kwenye vigezo walikuwa too general, ila yeye aliposimama kuhutubia aliweka mambo bayana sana kiasi kwamba sisi wachambuzi tuliokota mawili matatu kiasi fulani na kujua Dkt Samia anastahili sana maana style yake ya uongozi ni ya kuigwa pamoja na kuwa kazungukwa na majambazi majizi ambayo muda wote yanafikiria kuiba tu
 
Ukiwa rais tz unaweza tunukiwa cheo,wadhifa wowote hata kama hujasomea/huna utaalam wake

Ova
 
Asante, ndiyo maana nasema wasomi wetu ni rubbish! sasa hili neno wameitoa wpi? Muulize the etymology of theat word ni ipi? The science of the origin of word ni pi?
Tunajua Tele means "far" in Latin, phone ni sound, and therefore telephone ni FAR SOUND ie you can hear a sound/voice from far away say the USA while you are in Tanzania! It makes a lot of sense and is easy to learn.

Waulize hao waliobuni neno TASNIFU waliumia vigezo gani au ni majina ya hawala zao
 
Nadhani umelitumia vibaya neno wahuni,embu fafanua unaposema wahuni unamaanisha nini
 
Hujui unachoongea Bwashee

Elimu ya nchi yoyote inalindwa kisiasa ndio sababu Wakuu wa vyuo ni Wanasiasa

Unadhani kwanini Mitihani ya mwisho huwa hairudishwi? 🐼😂
Ukiona mwana chuo ana soma miaka 3 bila kugoma, jua huyo ni ama amekariri au haelewe anachofundishwa ( Chachage. S. Chachage)
Vyuo vikuu vya Tanzania ni extended high schools ( jenerali Twaha Ulimwengu)
 
Ukiona mwana chuo ana soma miaka 3 bila kugoma, jua huyo ni ama amekariri au haelewe anachofundishwa ( Chachage. S. Chachage)
Vyuo vikuu vya Tanzania ni extended high schools ( jenerali Twaha Ulimwengu)
Na Wengi wa wapambanaji waliishia kudisco 🐼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…