Chupuchupu: Ni saa 11 kasorobo alfajiri almanusura kukosa daku, kula tena hadi saa 12 jioni na usiku saa tatu

Chupuchupu: Ni saa 11 kasorobo alfajiri almanusura kukosa daku, kula tena hadi saa 12 jioni na usiku saa tatu

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
345
Reaction score
1,145
Muda si kitu cha kucheza nacho

IMG_1740964279908.jpg
 
Sasa hii ni funga ama kubadilisha ratiba ya chakula.?!
Mkuu, funga maana yake nini?

Dhana ya mfungo kimsingi ni dedication na devotion.

Mm ni Mkristu, lakini sioni kama kuna kosa lolote katika utaratibu wao, as long as huo unawasaidia ku-focus na ku-reconnect.

Swali langu kubwa kwao ni iwapo au la hiyo connection imeelekezwa kwenye chanzo sahihi???

Mama Msamaria katika Yohana 4 alikuwa na mtazamo wake wa ibada ambayo kwa mujibu wake, ilikuwa lazima ifanyike ^katika mlima huu.^ v. 21

Yesu Kristu asifiwe, akamwonesha nini maana ya ibada sahihi na ya kweli - wamwabuduo wanapaswa kumwabudu katika Roho na Kweli.

Ikiwa kwa wenzetu Waislamu hata lugha tu ya kutumia lazima iwe Kiarabu, vinginevyo shughuli hiyo ni haramu, basi hapo ni wazi safari bado ndefu sana kwao.

Ni sawa na Ukristu enzi hizo ambapo Kilatini kilikuwa ni lazima kama sharti la kutimiza ibada safi.

Lakini Mungu ashukuriwe tumeshatoka kwenye giza hilo nene, ila wenzetu ndiyo kwaanza ni saa mbili usiku wanaelekea humo gizani!

If anything, history has taught us that we never really learn from it!

Ramadhan Kareem!!!
 
Back
Top Bottom