Chupuchupu: Ni saa 11 kasorobo alfajiri almanusura kukosa daku, kula tena hadi saa 12 jioni na usiku saa tatu

Chupuchupu: Ni saa 11 kasorobo alfajiri almanusura kukosa daku, kula tena hadi saa 12 jioni na usiku saa tatu

Duuh...umepiga msosi huo alfajiri? Hapo kutwa nzima unashinda umevimbiwa😂😂😂
 
Muda si kitu cha kucheza nacho


View attachment 3257005
Kwa mikoa iliyopo mashariki mwa Tanzania kama Dar esa salaam, Tanga , Unguja na Pemba , Lindi na pia Moshi ,mwisho wa kula daku ni saa 11:25 kwahiyo ukiamka saa 11 kamili unagonga daku kwa utulivu kwakuwa muda Bado unao wa dakika 25 .
Kwa mikoa iliyopo magharibi mwa Tanzania kama Kagera, Kigoma , Rukwa hadi Ruvuma Hawa wanatakiwa waongeze kama nusu saa kwahiyo mtu wa magharibi mwa Tanzania akiamka saa 11: 30 anakula daku hadi saa 11: 45 hivi ndio anaweza na kusukutua ili kujiandaa na swala ya alfajiri.
 
Simple but Attractive usiwe unasahau kuweka Ndimu au Limao (Lemon) Kwa ajili kuweka sawa mfumo wa mmengenyo wa Chakula
(Digestion system).
 
Tunaweza sana tu. Kuna watu wakisha kuftari ndio imetoka hio mpk kesho yake.
Inategemea tu na ulafi wa mtu na mazoea ya kulakula kila wakati. Ila pia hatutakiwi kujikalif. Unatakiwa kula daku japo kokwa 3 za tende na maji na kuna fadhila sana. Ila sio kula kufakamia mpk inakuwa adha. Mtu unakuta kafunga lkn saa 4 asubuhi anaenda mbweu za wali ndondo. Haifai, ni makruh
Umeona bakuli la wali la mleta uzi? Hapo amefunga kitu gani wakati ule wali maharage utachukua hadi masaa 8 ndio upungue tumboni🤣🤣🤣
Determinantor
 
Mkuu, funga maana yake nini?

Dhana ya mfungo kimsingi ni dedication na devotion.

Mm ni Mkristu, lakini sioni kama kuna kosa lolote katika utaratibu wao, as long as huo unawasaidia ku-focus na ku-reconnect.

Swali langu kubwa kwao ni iwapo au la hiyo connection imeelekezwa kwenye chanzo sahihi???

Mama Msamaria katika Yohana 4 alikuwa na mtazamo wake wa ibada ambayo kwa mujibu wake, ilikuwa lazima ifanyike ^katika mlima huu.^ v. 21

Yesu Kristu asifiwe, akamwonesha nini maana ya ibada sahihi na ya kweli - wamwabuduo wanapaswa kumwabudu katika Roho na Kweli.

Ikiwa kwa wenzetu Waislamu hata lugha tu ya kutumia lazima iwe Kiarabu, vinginevyo shughuli hiyo ni haramu, basi hapo ni wazi safari bado ndefu sana kwao.

Ni sawa na Ukristu enzi hizo ambapo Kilatini kilikuwa ni lazima kama sharti la kutimiza ibada safi.

Lakini Mungu ashukuriwe tumeshatoka kwenye giza hilo nene, ila wenzetu ndiyo kwaanza ni saa mbili usiku wanaelekea humo gizani!

If anything, history has taught us that we never really learn from it!

Ramadhan Kareem!!!
Aliyesema lazima iwe ni kiarabu nani? Hakuna mahala pameandikwa ukisali kwa kiswahili basi ibada yako ni batili, ukitia nia ya ibada yoyote(kufunga, kusali n.k) kwa kiswahili ibada hiyo haina malipo hakuna.
 
Hicho chakula ni kingi sana kwa mtu anayefunga, kiu itakumaliza...nadhanj wafungaji mnatakiwa kupata elimu juu ya namna gani mle wakati wa kufunga.

Lakini pia tusisahau, kufunga kuendane na ibada, toba na kutenda mema, kuwaza mema na kuishi vyema na watu. Haitafaa kitu kushinda njaa kumbe moyoni umejaa uovu na hutaki kuuachia.
 
Hicho chakula ni kingi sana kwa mtu anayefunga, kiu itakumaliza...nadhanj wafungaji mnatakiwa kupata elimu juu ya namna gani mle wakati wa kufunga.

Lakini pia tusisahau, kufunga kuendane na ibada, toba na kutenda mema, kuwaza mema na kuishi vyema na watu. Haitafaa kitu kushinda njaa kumbe moyoni umejaa uovu na hutaki kuuachia.
Kwanza ulifunga ht hamu ya kula inapotea kabisa
Nashangaa wenzetu wanawezaje kula chakula hivyo
 
Umeona bakuli la wali la mleta uzi? Hapo amefunga kitu gani wakati ule wali maharage utachukua hadi masaa 8 ndio upungue tumboni🤣🤣🤣
Determinantor
hahahaahaha yule sio mfungaji, ila jamaa yangu aliwahi niambia kuwa hawa jamaa wakifunga ndio kipindi wanakula hadi basi, hata Janabi aliwahi kuongelea hii kitu
 
Back
Top Bottom