Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 1,861
- 4,462
Saa 12 jioni alafu maybe na kidgo saa 2 usiku apo ndio basi tena mpaka kesho yake muda kama huo.Mtu akifunga inabidi ale muda gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saa 12 jioni alafu maybe na kidgo saa 2 usiku apo ndio basi tena mpaka kesho yake muda kama huo.Mtu akifunga inabidi ale muda gani
😅😅😅😅😅Tumbav zakoKWaiyo futari saa 1 usiku. Then kuna cha saa 4 usiku alafu na saa 10 usiku.
Basi na mimi nimefunga usiku nakula mchana na ww umefunga mchna na kula usiku.
Kama ni kufunga usiku hata mimi nimefunga mkuuKWaiyo futari saa 1 usiku. Then kuna cha saa 4 usiku alafu na saa 10 usiku.
Basi na mimi nimefunga usiku nakula mchana na ww umefunga mchna na kula usiku.
Giza gani kiongozi umetoka? Bado upo kwenye giza totoro kama imani yako inasema nabii Issa mwana wa Mariam ni Mungu bado upo kwenye dimbwi la giza totoro kabisaaaaaMkuu, funga maana yake nini?
Dhana ya mfungo kimsingi ni dedication na devotion.
Mm ni Mkristu, lakini sioni kama kuna kosa lolote katika utaratibu wao, as long as huo unawasaidia ku-focus na ku-reconnect.
Swali langu kubwa kwao ni iwapo au la hiyo connection imeelekezwa kwenye chanzo sahihi???
Mama Msamaria katika Yohana 4 alikuwa na mtazamo wake wa ibada ambayo kwa mujibu wake, ilikuwa lazima ifanyike ^katika mlima huu.^ v. 21
Yesu Kristu asifiwe, akamwonesha nini maana ya ibada sahihi na ya kweli - wamwabuduo wanapaswa kumwabudu katika Roho na Kweli.
Ikiwa kwa wenzetu Waislamu hata lugha tu ya kutumia lazima iwe Kiarabu, vinginevyo shughuli hiyo ni haramu, basi hapo ni wazi safari bado ndefu sana kwao.
Ni sawa na Ukristu enzi hizo ambapo Kilatini kilikuwa ni lazima kama sharti la kutimiza ibada safi.
Lakini Mungu ashukuriwe tumeshatoka kwenye giza hilo nene, ila wenzetu ndiyo kwaanza ni saa mbili usiku wanaelekea humo gizani!
If anything, history has taught us that we never really learn from it!
Ramadhan Kareem!!!
Giza gani kiongozi umetoka? Bado upo kwenye giza totoro kama imani yako inasema nabii Issa mwana wa Mariam ni Mungu bado upo kwenye dimbwi la giza totoro kabisaMkuu, funga maana yake nini?
Dhana ya mfungo kimsingi ni dedication na devotion.
Mm ni Mkristu, lakini sioni kama kuna kosa lolote katika utaratibu wao, as long as huo unawasaidia ku-focus na ku-reconnect.
Swali langu kubwa kwao ni iwapo au la hiyo connection imeelekezwa kwenye chanzo sahihi???
Mama Msamaria katika Yohana 4 alikuwa na mtazamo wake wa ibada ambayo kwa mujibu wake, ilikuwa lazima ifanyike ^katika mlima huu.^ v. 21
Yesu Kristu asifiwe, akamwonesha nini maana ya ibada sahihi na ya kweli - wamwabuduo wanapaswa kumwabudu katika Roho na Kweli.
Ikiwa kwa wenzetu Waislamu hata lugha tu ya kutumia lazima iwe Kiarabu, vinginevyo shughuli hiyo ni haramu, basi hapo ni wazi safari bado ndefu sana kwao.
Ni sawa na Ukristu enzi hizo ambapo Kilatini kilikuwa ni lazima kama sharti la kutimiza ibada safi.
Lakini Mungu ashukuriwe tumeshatoka kwenye giza hilo nene, ila wenzetu ndiyo kwaanza ni saa mbili usiku wanaelekea humo gizani!
If anything, history has taught us that we never really learn from it!
Ramadhan Kareem!!!
Kwa hii style yenu ya kufunga, mimi naweza kufunga miaka 3 bila shida. Yani kula saa 10 asubuhi ukashiba unashindwaje kusubiri chakula tena jioni saa 12 ? Eti unakutana na mtu saa sita mchana anakwambia swaumu imekaza....🫣🫣
Kuna wapumbavu wao wakifunga wanataka kuona hata wasio funga nao wanashinda na njaa wakati hao wasio funga awana kula daku .....yani wao wakila saa 3 usiku wanalazimishwa kula tena saa 3 usiku maana wasio waislam awana futari wala daku isipokuwa chakula cha usiku saa 2 au saa 3
Na nyie dini yenu isiyojua Kiswahili kazi kiarabu tu.Giza gani kiongozi umetoka? Bado upo kwenye giza totoro kama imani yako inasema nabii Issa mwana wa Mariam ni Mungu bado upo kwenye dimbwi la giza totoro kabisa
Mkuu, umewahi kumsoma nabii Issa popote kwenye Biblia?Giza gani kiongozi umetoka? Bado upo kwenye giza totoro kama imani yako inasema nabii Issa mwana wa Mariam ni Mungu bado upo kwenye dimbwi la giza totoro kabisa
Na kila ukila daku kdg ndio unazidi kuwa upo fit. Muhimu ule kitu cha ku-boost sugar tu japo kdg. Kama hio tende ndio nzuri. Unazila kwa hisabu ya witri na maziwa fresh au hata maji ya kunywa tu.Mimi daku hua nakunywa maziwa fresh ya moto yenye viungo vya chai na tende chache tuu Kisha naswaki nakunywa maji kiasi nasali subhi
Mkuu, umewahi kumsoma nabii Issa popote kwenye Biblia?
Kurani inasema mkiwa na mashaka waulizeni ^watu wa Kitabu,^ mpate ufafanuzi. Usijitungie hadithi mfu ili kuhalalisha mapokeo yako.
Bila kusali kwa Kiarabu dua haiendi, au siyo???
Nyinyi? Kina nani?Sisi mbn huwa 2nafunga ga bila kula daku !
Wewe umebadilisha ratiba ya kula tu hamna ulichofunga 😂😂
Tunaweza sana tu. Kuna watu wakisha kuftari ndio imetoka hio mpk kesho yake.Wenzetu funga kavu hawaiwezi kamwe
Watakuja wenye Ramso yao wakupopoe na mapanga, LolSasa hii ni funga ama kubadilisha ratiba ya chakula.?!