Chupuchupu: Ni saa 11 kasorobo alfajiri almanusura kukosa daku, kula tena hadi saa 12 jioni na usiku saa tatu

Mkuu we ndo una huo ustaarabu na kujitambua wengine ndugu zetu mmhu 🙌
Mie muislam, Nimejifunza kwa kiasi fulani, dini sio ngumu ila kuna watu wanaitia ugumu, kuna watu kwenye dini wanajitoa akili, wanakuwa kama mashabiki wa simba na yanga, wanakuwa hawana akili hata moja mwishowe wanafanya mambo kinyume kabisaa na dini isemavyo.
 
Mimi daku hua nakunywa maziwa fresh ya moto yenye viungo vya chai na tende chache tuu Kisha naswaki nakunywa maji kiasi nasali subhi
Mimi kabla ya Adhana na kuswali Alfajir napendelea viazi vitatu, tambi, chapati na kauji kikombe kimoja...sipendi kula sana na kushiba kwa daku
 
Mimi daku hua nakunywa maziwa fresh ya moto yenye viungo vya chai na tende chache tuu Kisha naswaki nakunywa maji kiasi nasali subhi
Sasa kuna sababu gani kuelezea yote hayo? Au tujue nawe huswali..
Tujiepushe na Riyaa,hakika ni shirk iliyofichikana
 
Na kila ukila daku kdg ndio unazidi kuwa upo fit. Muhimu ule kitu cha ku-boost sugar tu japo kdg. Kama hio tende ndio nzuri. Unazila kwa hisabu ya witri na maziwa fresh au hata maji ya kunywa tu.
Siku yako inakuwa imechangamka vizuri
Sawa kabisa
 
Mie muislam, Nimejifunza kwa kiasi fulani, dini sio ngumu ila kuna watu wanaitia ugumu, kuna watu kwenye dini wanajitoa akili, wanakuwa kama mashabiki wa simba na yanga, wanakuwa hawana akili hata moja mwishowe wanafanya mambo kinyume kabisaa na dini isemavyo.
Very true
 
Back
Top Bottom