Chura, shape, sura na kazi nzuri ya mkeo vimekusaidia nini katika maisha?

Mwamba umenena yaliyo sawia, nipo nayapitia Sasa
 
Ulizia mtoto mwenye Tako kubwa kama mama yake wewe inakisaidia nini

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Nikija kuoa ntaoa hawa form 4 graduates, mwenye kipawa cha biashara, submissive na mwenye hofu ya Mungu tu
Kioawa cha biashara na kuwa submissive ni vitu visivyokaa pamoja. Huwa wanakuwa jeuri hatari.

Kuna mifano michache ningekupa lkn nina haraka
 
Kweli Sana. Wife ameajiriwa lakini Mshahara unaotoboka ni wangu. Mke aliyeajiriwa labda faida yake itaonekana nikiwa marehemu lakini kwasasa chake NI chake na changu ndiyo cha wote.

Umeshindwa kumdhibiti na kuna kila dalili hakupendi.
Mwanamke akikupenda utatumia chochote kilichochake, tena atakupa mwenyewe na usipotumia vyake ataona haumpendi.

Hapo jihadhari siku ulishuka kiuchumi sio ajabu akakunyanyasa au kukuacha
 
Hawa wengi wanaishuia kuna masingle mama
 

Watu wenye akili ikiwemo walioandika quran na waanzilishi wa uislamu wenyewe wanaungana na mimi kuwa moja ya sifa kuu ambazo mwanaume anatakiwa kuzitumia katika kuchagua mke ni Uzuri, tabia njema na Pesa.
Sasa wewe kalia hapo na simulizi zako.

Alafu huko wanapouza wengi ni wabaya kuliko wazuri weka akilini hiyo. Usidhani hatuwaoni huko mabarabarani.
 
Mkuu nimekusoma tangu mwanzo, wewe unaongelea ilivyotakiwa iwe lakini kwenye Jamii yetu haipo hivyo. Mleta mada anaongelea uhalisia jinsi hali ilivyo kwenye Jamii. Nitakupa baadhi ya sababu. Wanawake aliowataja mleta mada mara nyingi tangu wapo form 1 wanatongozwa sana, wanahongwa sana, wengine wanatafutiwa hadi passport wakagongwe Dubai au kokote mbali. Hiyo yote Ili kuwaweka viganjani wagongwe kwa muda tu. Kwahiyo mwanamke mzuri,mwenye tako na hizo sifa kwa bongo mpaka anakuja kuolewa mara nyingi kashapitia mengi mpaka mwenyewe anasema acha niolewe tu mengine yatakulikana mbele ya safari. Hapo ndo kizaazaa kinapoanza Kwa aliyemuoa. Ukishamvalisha pete hakuna rangi utaacha kuona. Asilimia kubwa ya wanawake wazuri Wana drama nyingi sana, afadhali kidogo ukiwa na ela nyingi, yeye awe mtumiaji tu hapo sawa. Sababu ni jamii imeshawaharibu hata akiolewa akili yake inamdanganya kuwa ana soko kubwa hata akiachika na watoto wawili ataolewa tu. Wakifikisha miaka 40 ndo huwa wanashtuka na kuanza kujilaumu. Aliyoongea mleta mada ni ukweli Kwa 100% ,watu wanabisha Ili kujipa moyo. Duniani kuna aina mbili za makundi ya watu. Kuna wanaoelewa kwa kuangalia uhalisia wa jamii wanazoishi na kujifunza kupitia wengine na kuna kundi jingine kubwa ambalo kuelewa kwao mpaka wapitie changamoto wao wenyewe ndo akili iwakae sawa.
 
Ndio maana nakwambia hujui kitu na porojo zako , hamna kitu utaniambia .

Kanywe gongo na viroba .

Hayo yote ni changamsha ila point kubwa ni dini ...Rudi kasome kwanza !!
 
mbona unanichanganya mwandishi
 
Kwanini mnajutesa na wanawake wakuu, Hao wake zenu mnaowahangaikia kutwa kucha wanachapwa kimasihara na kina...
 
Hahahhaha ukio graduate my friend umeoa malaya
Anayebisha abishe
Kuna mademu walikua wanaliwa hata hadharani kama EXILE ikishindikana
Kuna kamoja kaliliwa chooni saa hivi hivi eti mke wa mtu kanazuga wife material
 
Mwamba haya madini uliotema hapa kama kuna ambaye haelewi basi huyo ni wale born mbishi...
 
Ulichoandika nikwa mtazamo wako usitujumuishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…