inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
lazima watengeneze mazingira ya u-fake news..unafikiri watu wataichukuliaje marekani baada ya habari kama hiiHii ni moja ya story iliyo trend sana kwa masaa karibu 20 yaliyopita. Ila inaonekana ni 'FAKE NEWS'.
Fungua hapa: Cia Agent Confesses On Deathbed: ‘I Killed Bob Marley’ | Your News On Time!
WEKA ILIYO YA KWELI
Wazungu binadamu wenzetu ila ni katili mno, hawakawi kukanusha haya, ila naamini 110% walihusika, hata AIDS, ni wao tu kwa sababu zao za kikatili..lazima watengeneze mazingira ya u-fake news..unafikiri watu wataichukuliaje marekani baada ya habari kama hii
WEKA ILIYO YA KWELI
Tutaitembelea mkuu naona ina info nzuri tu, hasa kilimo pale..
Inatia hasira sana aiseeNimeumia mno moyo jamaa kumpa kiatu ya sumu
Mkuu weendelea kuamini ni yakutunga but bob alikuwa hatari kweli, jaribu kuzisikiliza nyimbo zake utaelewa.Mm hii story sikuiamini nikafanya utafiti wangu na kugundua ni ya kutunga..Hoax...maneno mengi yaliyotumika huku yalisemwa na dada mmoja jirani ya Bob..akielezea siku bob aliposhambuliwa na watu wenye bunduki
Nimejifunza kuhusu Bob tokea mwaka 94 nikiwa darasa la saba...sasa hv nina zaidi ya miaka arobaini..kwamba Bob alikua hatari nakubali...na ni kutokana na siasa za wakati huo..ila do some research..hii habari ni hoax...sijasema Bob hakuuawa hapana nachosema hii habari si sawaMkuu weendelea kuamini ni yakutunga but bob alikuwa hatari kweli, jaribu kuzisikiliza nyimbo zake utaelewa.
kaka mbona snoden hawajamfanya kitu before talk be a very good listener huyu mzee ameambiwa he has only a week to live and he has to confessMzinguaji tu! Simuamini ata kidogo... Yaani CIA wakuache tu uanropoka siri zako mda wote huooo!
Si sawa kivipi imekosewa?, ni ya uongo? au ....Nimejifunza kuhusu Bob tokea mwaka 94 nikiwa darasa la saba...sasa hv nina zaidi ya miaka arobaini..kwamba Bob alikua hatari nakubali...na ni kutokana na siasa za wakati huo..ila do some research..hii habari ni hoax...sijasema Bob hakuuawa hapana nachosema hii habari si sawa
Soma tena utaelewa..Mbona Merley died of cancer! What I know ni kwamba there was an attempted assassination but it wasn't fatal.
Upo kumbeAm still stuck at ' stunning confessions'😀😀