CIA akiri kumuua Bob Marley akiwa hoi kitandani

CIA akiri kumuua Bob Marley akiwa hoi kitandani

Mm hii story sikuiamini nikafanya utafiti wangu na kugundua ni ya kutunga..Hoax...maneno mengi yaliyotumika huku yalisemwa na dada mmoja jirani ya Bob..akielezea siku bob aliposhambuliwa na watu wenye bunduki
Mkuu weendelea kuamini ni yakutunga but bob alikuwa hatari kweli, jaribu kuzisikiliza nyimbo zake utaelewa.
 
Mkuu weendelea kuamini ni yakutunga but bob alikuwa hatari kweli, jaribu kuzisikiliza nyimbo zake utaelewa.
Nimejifunza kuhusu Bob tokea mwaka 94 nikiwa darasa la saba...sasa hv nina zaidi ya miaka arobaini..kwamba Bob alikua hatari nakubali...na ni kutokana na siasa za wakati huo..ila do some research..hii habari ni hoax...sijasema Bob hakuuawa hapana nachosema hii habari si sawa
 
Mzinguaji tu! Simuamini ata kidogo... Yaani CIA wakuache tu uanropoka siri zako mda wote huooo!
 
banny wailer alikisema hichi kitu since day one and even marley family knew it CIA was behind this
 
Mzinguaji tu! Simuamini ata kidogo... Yaani CIA wakuache tu uanropoka siri zako mda wote huooo!
kaka mbona snoden hawajamfanya kitu before talk be a very good listener huyu mzee ameambiwa he has only a week to live and he has to confess
 
Nimejifunza kuhusu Bob tokea mwaka 94 nikiwa darasa la saba...sasa hv nina zaidi ya miaka arobaini..kwamba Bob alikua hatari nakubali...na ni kutokana na siasa za wakati huo..ila do some research..hii habari ni hoax...sijasema Bob hakuuawa hapana nachosema hii habari si sawa
Si sawa kivipi imekosewa?, ni ya uongo? au ....
 
maishapopote
Kama ulimaliza darasa la 7 ukiwa na miaka angalau 18 sawa; lakini kama sio basi maelezo yako ndio hoax.
 
Source:

BLAKKPEPPER.COM
YOURNEWSWIRE.COM
HIP HOP VIBE.COM

Ndio maana huku kwetu kuna kosa la UCHOCHEZI. Kwa sababu walishatuona tuna vichwa vya sponji, vinanyonya kila kitu.

CIA wamemsikiliza wamemuona mwacheni chizi anajifia taratibu, huku kwetu kwa kweli angesomewa mashitaka kitandani kwa uchochezi kwa sababu nusu na robo ya vichwa vyote vya Tanzania vingenunua hadithi.
 
Back
Top Bottom