CIA HUWA HAWABISHIWI. UKISHINDANA NAO BASI KABURI LITAKUHUSU

Nyie endeleeni kubwabwaja tu eti sisi ni Taifa lisilofungamana na Upande wowote...hao warusi na wachina tunaowategemea wanaweza wasiwr na msaada pale CIA watakapoingia kazini...Kila la kheri wazalendo wa Taifa hili.

Nyerere alishasema Tujisahihishe pale tunapowakosea tunawowaongoza. Tusipojisahihisha wakubwa watakuja kutusahihisha
 
Hofu yangu ni Kwamba usije ikatokea Hawa USA wakawa activate Sleepers Agents wao hapa nchini.

Maana hao sleepers agents wakiwa activated hakuna atakayebaki salama itakuwa kama Yale ya Maduro ingawa hatuombei yatokee.
Bongo ilivyo rahis kupata taarifa unadhani US inahitaji sleeper agents hapa?

Mbongo mpe hela , mpe maisha na atakuuzia siri za bosi na kila kitu. Mswahili ndio mbea by nature huotaji resources nyingi kupata taarifa
 
Hii dhana Ina ukweli kwa sababu wao Maseneta wamewezaji kupata taarifa??? Ina maana Wana Sleepers Agents wao ambao wamewapa hizo taarifa...Sasa ni kina nani??? Hata Mimi siwajui...ila itakuwa TEETH ambao ni Double Agents...wapo TEETH na wapo pia CIA.
 
Kaka unajua sleepers agent, field agents na CIs?

Kwa marekani nchi kama tanzania sio threat kwao so uwekezaji wa sleeper agent hauna maana, maana ni gharama na resource intensive

Kupata taarifa bongo hata ww ukijipanga unapata. Narudi pale pale nature ya mswahili ni umbea, that how ji rahis kutenegeneza CIs , wanakuletea taarifa in exhange na pesa au mali.

Unajua viongoz walivyo mafisadi? Do you think wakihongwa kidogo hawatotoa siri?

Huotaji sleepers nchi hii
 
Nimekuelewa kaka
 
Punguza kuangalia sinema za mabanda umiza....
 
Hivi una uhakika kuwa masia kazaliwa Des.25
 
Bongo ilivyo rahis kupata taarifa unadhani US inahitaji sleeper agents hapa?

Mbongo mpe hela , mpe maisha na atakuuzia siri za bosi na kila kitu. Mswahili ndio mbea by nature huotaji resources nyingi kupata taarifa
Mifumo yote tunatumia kwa mawasiliano n.k chip zimetoka kwao na zina matundu ( tupo watupu mbele ya hao watu )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…