CIA HUWA HAWABISHIWI. UKISHINDANA NAO BASI KABURI LITAKUHUSU

Hao CIA walikua wapi kwenye ile 9/11 Attack?

Watu wameingia US,wakasomea upilot,wakateka ndege za US kwenye viwanja tofauti tofauti ndani ya US,

Wakazi bamiza ndege kwenye World Trade Center twin tower,wakapiga Pentagon na maeneo mengine,

Hao CIA na FBI walikua wamelala usingizi?

Hakuna security ya 100% hapa Duniani,acheni kupumbazwa na movies za Hollywood.
 
Kama tumbo limejaa sana jaribu kulamba mrungurungu
Gentleman,
dawa ya malalamiko, mihemko, makasiriko, upotoshaji n.k ni kufanya kazi kwa bidii na kuondokana na unyoge wa kiuchumi.

kwa kufanya hivyo,
huwezi babaishwa na porojo au nonsense yoyote katika dunia hii, huwezi kupata hiyo sijuu ya kujaa tumbo na kulamba hiyo ushirikina sijui mrungurungu n.k

ni kwasababu ya uvivu unaweza kujikuta unakula vitu useless kabisa
 
Huna budi kujipapasa mwenyewe Kuna Giza sana nawewe taa huna bhanaa
 
Cc Kant Ombe gallow bird Tanganian Jagina
 
Hahahahahaaaaa nature ya mswahili ni umbea.
 
Huna budi kujipapasa mwenyewe Kuna Giza sana nawewe taa huna bhanaa
Gentleman,
dawa ya malalamiko yako na ya wafuata mkumbo wenzako ni kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili hatimae kuondokana na unyonge wa kiuchumi na dhana potofu nonsense mlizo nazo vichwani mwenu juu yenu wenyewe 🤣

jioneeni huruma wenyewe 🤣
 
Na Motto yao imetoka kwa Biblia John 8:32
Kila Ubalozi ina CIA Station
Na kila nchi wana QRF iliyo karibu
Ukitaka kalianzishe pale Ubalozi au anapoishi Amb wao
Nilikuwa sitaki kucheka usiku huu lakini huo mstari wa bibilia umenifanya nikasoma mistari yote kwanzia 32 sasa mwisho mwisho ndiko kuliko nichekesha .

Nami nasema hivi ccm haiatalewa kamwe mpaka siku yenyewe ambayo watajilaumu sana ila hakutakuwa na msaada kamwe huruma yangu ni kwa vijana wadogo waliotoka mbele ya kamera na kututukana watanzania sioni wakiishi kwa amani nchini
 
Shida yao ni moja wanachelewa sana kuja bongo
 
Kwa nchi maskini inayoagiza Kila kitu nje Cha electronics hamna haja hata ya CIA agent ni upotevu wa resources Bure

Silaha asilimia kubwa tunaagiza kwao CCTV camera radar ni za kwao
Ni kuunganisha TU wanaona Kila taarifa wanayoitaka hata Ile ripoti ya chande kwenye laptop

Hata Ile iliyotupwa kwenye recycle bin

Tukubali kuwatendea raia wetu haki tuache kutunishana misuli na Marekani ni upumbavu
 
Style nzuri sana kumchokoza nyani aliyejuu ya mwembe ukitarajia akasirike akurushie embe Moja upate kujaza tumbo lako usilopenda lingize upepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…