CIA HUWA HAWABISHIWI. UKISHINDANA NAO BASI KABURI LITAKUHUSU

Jamii forum ipi mnaipata bila VPN?
 
Wabongo mnapenda kujipa umuhimu msio kuwa nao.

US ipoteze resources zake kupata taarifa za bongo kwa umuhimu gani TZ iliyonayo?

After all, taarifa zote walizojadili maseneta zipo kila kona yeyote yule anaweza kuzipata.

Mkishasoma tuvitabu twa ujasusi twa Yericko Nyerere page mbili tu na nyie mnakuwa wachambuzu wa masuala ya usalama. Smh
 
Kuna namna CIA Wanaonekana kama miungu watu.. kwenye vichwa vya wengi sijui ni movie zinaawaharibu ama nn

Word.

Watu wanaamini CIA wanajua hadi wakijamba yet matukio kibao yanatokea in the heart of city centers yaliyokuwa planned muda mrefu na hao CIA hawana habari hata kidogo.
 
Movie za rambo na check norris kule vietnam 😅
Ujinga mtupu😀
Word.

Watu wanaamini CIA wanajua hadi wakijamba yet matukio kibao yanatokea at the heart of city centers yaliyokuwa planned muda mrefu na hao CIA hawana habari hata kidogo.
Watu wakiaminishwaga wanaamini tu kila jambo😆 hawajipi nafasi ya kuchakata bongo zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…