Hilo ni jambo la kawaida kwenye nchi zenye media freedom na wala si jambo la kuumiza kichwaStupid Kenyans, how can you describe our President as a stubborn man,hata kama amekosea maamuzi,yanatuhusu ss,na sio nyinyi,stop meddling on our issues,hii ni dharau kubwa sana,hivi mnafikiaje hatua ya kumsema Rais wetu kwenye vyombo vya habari!jinga sana!
No apology given. Just saying the words used were not appropriate au maskio yako kombo!!!
Eti wivu, kisa nini? Jombaa, inamaana kwamba umepanick hadi unanukuu comment zangu bila kuzisoma? Mimi nimewapa hongera Citizen Tv na RMS hongera kwa kazi zao nzuri. Kwa ueledi wao kwenye kuwasilisha ujumbe na kwa kuomba msamaha wiki tatu baadaye, kwa habari walizopeperusha live. Kongole kwenu pia kwa uelewa wenu na kwa kuwasamehe Citizen Tv. [emoji1]Ndio mpunguze shobo,
Kinachokuuma ni citizen tv kukiri kuwa wamekosea na kuomba msamaha [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijua nimeona kila kitu kumbe kuna wivu wa namna hii!
Jaribu tena jombaa. Hata CNN ya Marekani pia tuliizomea sana. Rejea upya na mfano unaoendana na hoja anayojaribu kuwasilisha ukitumia mifano kutoka kwa media zenu uchwara, za umbea na ubabaishaji. Shukran.Ficha upumbavu wako huko,kipindi Fulani Museveni alipokuwa akihutubia kwenye sherehe mmoja hapo Kenya,alisema wakenya walioko mpakani mwa Uganda waache kuiba ng'ombe wake,wakenya mlipiga sana kelele,mbona hamkupotezea kama unavyosema?
Kajifunze kiswahili.No apology given. Just saying the words used were not appropriate au maskio yako kombo!!!
Nchi ya free media mbona haikosoi Uhuru kutoa fedha kwa wasanii wakati coronavirus patients r on hunger strike as a result of poor conditions at Quarantine centers?Hilo ni jambo la kawaida kwenye nchi zenye media freedom na wala si jambo la kuumiza kichwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa wanachapia sana kiswahili hawa jamaa, inawezekana hawakuwa na nia mbaya.Hawa wana tatizo la Kiswahili!
Huenda hilo neno "ukaidi" halina maana hasi kwa mujibu wa uelewa wao!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kutetea ujinga!Huwa wanachapia sana kiswahili hawa jamaa, inawezekana hawakuwa na nia mbaya.
Siwatetei, bado sijajua wanamaana gani wanaposema "ukaidi". Wanaposema "kuja hapa" kwao haina maana mbaya ila kwetu ni kuonesha dharau.Wacha kutetea ujinga!
Naona umeskia ulivyotaka wewe! Cheza hiyo video na umwalike jirani, pakiwa na msamaha amaombo huyo mtangazaji itakua Kiswahili kwako lugha ya kigeni. Amekili Neno moja lilotumika Kwa hiyo habari halikua mwafaka Kwake! Hakutamka kuomba msamaha popote!Kajifunze kiswahili.
Amekili ndio nini,Naona umeskia ulivyotaka wewe! Cheza hiyo video na umwalike jirani, pakiwa na msamaha amaombo huyo mtangazaji itakua Kiswahili kwako lugha ya kigeni. Amekili Neno moja lilotumika Kwa hiyo habari halikua mwafaka Kwake! Hakutamka kuomba msamaha popote!
Hamna msamaha citizen wameomba! Period! Nasema tena omba msaada Kwa majirani, wasikilize Wakupe tafsiri! Pakiwa mtangazaji kaomba msamaha Kwa hiyo taarifa basi Kiswahili lugha mpya!!Amekili ndio nini,
Ushasema halikua na muafaka kwake hadi hapa ushajikamata.
Ok, suuzika sasa.Hamna msamaha citizen wameomba! Period! Nasema tena omba msaada Kwa majirani, wasikilize Wakupe tafsiri! Pakiwa mtangazaji kaomba msamaha Kwa hiyo taarifa basi Kiswahili lugha mpya!!
Wewe ni zero kama hizo zero kwa ID yako,π π π π CCM wanatangeneza apology yao.
Hio sio sauti ya Citizen TV. Huyo sio Mkenya anaongea hapo.
Na kwa hio video, hakuna rangi ama nembo za Citizen TV popote, kama ilivyo kawaida kwa ripoti zote.
Kwani waliambiwa waapologize kila siku πππ
Saa ile Ulisema ni uongo,Najua leo utalala poa sana.
I can assure you, 99.9999% ya Wakenya hawakunotice hio title ya 'Ukaidi wa Magufuli'.
Wenye walinotice, 99.99% did not give a sh#t.
We didn't need Citizen TV to tell us that Tanzania is a dictatorial, communist country. Tulijua kitambo kwamba Magu ni dikteta supremo.