GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mangunguno na yule nwenzake Trey la wageni ndiye wanafunga nyota za wachezajiIkifukie ya kwamba.....
1. Chama kafuta Picha zote za Yanga SC alizopiga
2. Chama kawabloku Waandamizi wa Yanga SC
3. Chama kazibakisha Picha zile tu alizopiga akiwa anachezea Simba SC
4. Chama sasa haongei sana na Wachezaji wenzake wa Yanga SC
5. Chama amekuwa Mpweke
6. Chama muda wake mwingi sasa anatumia kuwatembelea Wachezaji wa Simba SC waliokuwa Maswahiba
7. Chama kaumia sana kwa Kitendo cha Kukopwa katika Usajili wake na hadi sasa hajamaliziwa alichoahidiwa
GENTAMYCINE ninaijua Simba SC ndani nje na kwamba ukiihama au ukiondoka kwa Mbwebwe na Nyodo hautoboi ng'o!!
Huu mpira Gadiel Michael alikuwa juu akaja kwenu akadrop,Morrison alikuwa anaibeba timu ya Yanga akaja kwenu akadrop,Niyonzima moja ya viungo wazuri nae akaja kwenu ikawa vilevile, akakutana na ushindani wa namba kama Chama anavyo kutana nao Yanga. So hata Yanga waliumia ila ndio mpira na maamuzi yake ya heshimiwe hata Gadiel alikuwa akipiga simu kuomba arudi Yanga. Huu mpira sio uadui ulitaka Chama asiwatembelee marafiki zake, unaoekana sio mtu wa mpira.Ikifukie ya kwamba.....
1. Chama kafuta Picha zote za Yanga SC alizopiga
2. Chama kawabloku Waandamizi wa Yanga SC
3. Chama kazibakisha Picha zile tu alizopiga akiwa anachezea Simba SC
4. Chama sasa haongei sana na Wachezaji wenzake wa Yanga SC
5. Chama amekuwa Mpweke
6. Chama muda wake mwingi sasa anatumia kuwatembelea Wachezaji wa Simba SC waliokuwa Maswahiba
7. Chama kaumia sana kwa Kitendo cha Kukopwa katika Usajili wake na hadi sasa hajamaliziwa alichoahidiwa
GENTAMYCINE ninaijua Simba SC ndani nje na kwamba ukiihama au ukiondoka kwa Mbwebwe na Nyodo hautoboi ng'o!!
Acha uchonganishi leo umetazama mechi iliyoisha hivi punde?Ikifukie ya kwamba.....
1. Chama kafuta Picha zote za Yanga SC alizopiga
2. Chama kawabloku Waandamizi wa Yanga SC
3. Chama kazibakisha Picha zile tu alizopiga akiwa anachezea Simba SC
4. Chama sasa haongei sana na Wachezaji wenzake wa Yanga SC
5. Chama amekuwa Mpweke
6. Chama muda wake mwingi sasa anatumia kuwatembelea Wachezaji wa Simba SC waliokuwa Maswahiba
7. Chama kaumia sana kwa Kitendo cha Kukopwa katika Usajili wake na hadi sasa hajamaliziwa alichoahidiwa
GENTAMYCINE ninaijua Simba SC ndani nje na kwamba ukiihama au ukiondoka kwa Mbwebwe na Nyodo hautoboi ng'o!!
Ajib alikua tegemeo pale Uto wakati wa bakuli wakamrubuni akaenda kujifia.Huu mpira Gadiel Michael alikuwa wa juu akaja kwenu akadrop,Morrison alikuwa anaibeba timu ya Yanga akaja kwenu akadrop,Niyonzima moja ya viungo wazuri nae akaja kwenu ikawa vilevile. So hata Yanga waliumia ila ndio mpira na maamuzi yake ya heshimiwe hata Gadiel alikuwa akipiga simu kuomba arudi Yanga. Huu mpira sio uadui ulitaka Chama asiwatembelee marafiki zake, unaoekana sio mtu wa mpira.
Mbona morrison nae aliondoka kwa mbwembwe si bora Chama.
Mpiga ramli chonganishiIkifukie ya kwamba.....
1. Chama kafuta Picha zote za Yanga SC alizopiga
2. Chama kawabloku Waandamizi wa Yanga SC
3. Chama kazibakisha Picha zile tu alizopiga akiwa anachezea Simba SC
4. Chama sasa haongei sana na Wachezaji wenzake wa Yanga SC
5. Chama amekuwa Mpweke
6. Chama muda wake mwingi sasa anatumia kuwatembelea Wachezaji wa Simba SC waliokuwa Maswahiba
7. Chama kaumia sana kwa Kitendo cha Kukopwa katika Usajili wake na hadi sasa hajamaliziwa alichoahidiwa
GENTAMYCINE ninaijua Simba SC ndani nje na kwamba ukiihama au ukiondoka kwa Mbwebwe na Nyodo hautoboi ng'o!!
Samaleko.Ikifukie ya kwamba.....

Chama hana furaha unaingizwa timu inaongoza goli 3?Aibuuu
Kafunga magoli hata hajashangilia.Asiye na furaha kawaumbua
Timu imeshashinda ndo anaingizwa ndo maana alivyofunga hata hajashangiliaCheki unavyotia ahibu...ni heri ungejinyea bro