Haswaaa wasomi wanaitajika kweli hujaielewa nacho Manisha, ni kuamini usomi utakupa kila uncho taka kama tunavo amini, elimu pekee haitoshi kufanya mtu awe selected sio tz tu hadi nje huko, raisi wa Ukraine muigizaji mchekeshaji ila kaaminiwa, unaijua elimu ya baba levo?Tunajua nchi hii ni it's not what you know...it's who you know.
Ila kama wtt wetu hawana connection wacha tu waendelee kusoma...nchi inahitaji wasomi pia
Siyo kwamba ndio mgao wenyewe wa majimbo huu? Umefikiri vizuri?Zitto Kabwe ubunge bye bye
Halmashauri au wewe unaona anazo pesa za kujenga soko?Watu ambao hamumfahamu Baba Levo ndo mnaweza kumchukulia powah.
But this guy is very smart .
Soko la mwanga kalijenga nani .
Nakubaliana na wewe, kuna watu wenye ubongo wa kuku ambao hawajui Baba Levo ni kinyago kilichochongwa na Zitto Kabwe kinaweza vipi mumpitisha mchongaji?Jf ya siku hizi watu Wana upeo mdogo sana
Wewe muulize swali dogo tu, wakati Baba Levo ni Diwani alikuwa Diwani kupitia chama gani na Zitto Kabwe alikuwa ni mbunge kupitia chama gani?Halmashauri au wewe unaona anazo pesa za kujenga soko?
Idea alitoa nani ?.Halmashauri au wewe unaona anazo pesa za kujenga soko?
Kama 2020 Mbatia halitoka 0-0 sasa huyo zitto ndo apewe Ubunge?.Siyo kwamba ndio mgao wenyewe wa majimbo huu? Umefikiri vizuri?
Tunza hii comment, jimbo la kwanza Tanzania mgombea wa Ccm kupigwa litakuwa jimbo la Segerea na jimbo la pili ni Kigoma mjini halafu ndio list itaendelea kwa kadiri ya mgao utakavyokuwa.Kama 2020 Mbatia halitoka 0-0 sasa huyo zitto ndo apewe Ubunge?.
Hana elimu ya Civis...Uzi huu hauwezi kunoga bila kupata burudani kidogo! Kula chuma hicho!
View attachment 3450727
Nasimama na wewe hapa.Hili ni miongoni mwa Majimbo ambayo wapinzani feki watapewa, ndio maana kawekwa huyu aliyefanya fujo siku ya kura za maoni ili iwe Rahisi kumpa Zitto
Noma kweli yaani!!Uzi huu hauwezi kunoga bila kupata burudani kidogo! Kula chuma hicho!
View attachment 3450727
Hili ni miongoni mwa Majimbo ambayo wapinzani feki watapewa, ndio maana kawekwa huyu aliyefanya fujo siku ya kura za maoni ili iwe Rahisi kumpa Zitto
hayamda mwengine jaribu kutumia akili yako upunguze mihemko, Huyo ndio mgombea sahihi kwa CCM kwenye hilo jimbo.
Nawasikitikia wazazi ambao bado wanaa amini kwenye elimu Tanzania hii bado kidogo tu tutampata rais asie jua hata kuandika jina lake, one love baba levo umewaheshimisha ma iliteracy mtoto wa lukuga
Fullstop, kwishaaaa
Uchaguzi gani? Mwaka huu mbona uchaguzi hamna
Mkuu hapo ume fafanua vizuri sanauelewa wa hiyo elimu ndio tatizo hapa nchini. Kusoma ni kujiengezea maarifa na sio ticket ya kuwa Tajiri au Mbunge. tuache mind za ovyo amabazo tumekuwa tukiaminishana kama jamii
Zitto hatamuweza Baba Levo hata ikiwa fair game.