Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji28][emoji1][emoji1]Sawa Mama Clement
π π πSawa Mama Clement
Onyango nae ni U20Ni age mate na Onyango
Kama Onyango ana 29yrs unashangaa nini Mzinze kuwa u20?.Mzize hawezi kuwa under 20
Huyo atakuwa kwenye 25 na point huko
Ila ni kawaida sana wachezaji kuwa na umri mdogo hata kama mwili unawakataa.
Aucho naye mbona ana 29 lakini mwili na sura vinabisha?Kama Onyango ana 29yrs unashangaa nini Mzinze kuwa u20?.
Kwaio mtu akiwa namwili wamiraba mi 4 ndio anakua mzee! Unataka mchezaj akonde kama yule zimbwe jr wenu tumia akil mkuuAucho naye mbona ana 29 lakini mwili na sura vinabisha?
Hapo Gongowazi ni nani mwenye mwili wa miraba minne?Kwaio mtu akiwa namwili wamiraba mi 4 ndio anakua mzee! Unataka mchezaj akonde kama yule zimbwe jr wenu tumia akil mkuu
mzize amepungua Sana ni 28Mzize hawezi kuwa under 20
Huyo atakuwa kwenye 25 na point huko
Ila ni kawaida sana wachezaji kuwa na umri mdogo hata kama mwili unawakataa.
Me nina karibia 30.Clement Mzize amechaguliwa kuwa mchezaji bora under 20 kwenye hafla ya utoaji tuzo huko Tanga.
Nampongeza sana lakini kusema ana chini ya miaka 20, mh