Clement Mzize ni under 20?

Clement Mzize ni under 20?

katuletea☕
images (3).jpeg
 
Kwaio mtu akiwa namwili wamiraba mi 4 ndio anakua mzee! Unataka mchezaj akonde kama yule zimbwe jr wenu tumia akil mkuu
Hapo Gongowazi ni nani mwenye mwili wa miraba minne?

Labda Juma Shabani maana tulimsikia Zahera akimsema kuwa ananenepa hovyo.

Sasa kama kunenepa ndio miraba minne basi siwezi kubisha.
 
Back
Top Bottom