We bwege amekutuma? Huyo danga aende yeye kucheza, amezoea kuvuna bila kupanda, ahenyeke Mzize yeye amelaza matako yake anasubiri pesa. Anataka amtumie kwa maslahi yakeKwa kitendo cha Clement Mzize kukubali aliekua msimamizi wake kukejeliwa na klabu pamoja na viongozi waliopo kwenye idara ya habari ya klabu ni kumkosea heshma na nimeshangazwa sana kuona Mzize anakubali hili wakati amewahi kusaidiwa na yule Mama
Bila shaka wachezaji wetu mbeleni watapitia maisha magumu na watakosa watu wa kuwasimamia kwasababu ya makosa yanayofanywa na wazawa wa sasa kisa uswahili na kukosa heshima na kutokua na msimamo pia kutanguliza mahaba badala professionalism na pesa.
Pole sana dogo kwa kutema big G kwa karanga za kuonjeshwa.
Kanuni mpya za TFF zinasemaje kuhusu meneja na wakala wa mchezajiKwa kitendo cha Clement Mzize kukubali aliekua msimamizi wake kukejeliwa na klabu pamoja na viongozi waliopo kwenye idara ya habari ya klabu ni kumkosea heshma na nimeshangazwa sana kuona Mzize anakubali hili wakati amewahi kusaidiwa na yule Mama
Bila shaka wachezaji wetu mbeleni watapitia maisha magumu na watakosa watu wa kuwasimamia kwasababu ya makosa yanayofanywa na wazawa wa sasa kisa uswahili na kukosa heshima na kutokua na msimamo pia kutanguliza mahaba badala professionalism na pesa.
Pole sana dogo kwa kutema big G kwa karanga za kuonjeshwa.
Mpekekeni Kibu nafasi ya MzizeKwa kitendo cha Clement Mzize kukubali aliekua msimamizi wake kukejeliwa na klabu pamoja na viongozi waliopo kwenye idara ya habari ya klabu ni kumkosea heshma na nimeshangazwa sana kuona Mzize anakubali hili wakati amewahi kusaidiwa na yule Mama
Bila shaka wachezaji wetu mbeleni watapitia maisha magumu na watakosa watu wa kuwasimamia kwasababu ya makosa yanayofanywa na wazawa wa sasa kisa uswahili na kukosa heshima na kutokua na msimamo pia kutanguliza mahaba badala professionalism na pesa.
Pole sana dogo kwa kutema big G kwa karanga za kuonjeshwa.
Kacheze wewe mkuu kwani lazima mzize au hapo ukoloni hamna mchezaji yeyote mkampa hilo dili la mzizeKwa kitendo cha Clement Mzize kukubali aliekua msimamizi wake kukejeliwa na klabu pamoja na viongozi waliopo kwenye idara ya habari ya klabu ni kumkosea heshma na nimeshangazwa sana kuona Mzize anakubali hili wakati amewahi kusaidiwa na yule Mama
Bila shaka wachezaji wetu mbeleni watapitia maisha magumu na watakosa watu wa kuwasimamia kwasababu ya makosa yanayofanywa na wazawa wa sasa kisa uswahili na kukosa heshima na kutokua na msimamo pia kutanguliza mahaba badala professionalism na pesa.
Pole sana dogo kwa kutema big G kwa karanga za kuonjeshwa.
Mbona umetaja wachezaji wa kigeni pekee? Mtaje na Selemani Mwalimu yupo wapi? Halafu umesahau wengine wageni kama vile chama, Luis miquisone, n k ambao waliona machungu huko nje. Mchezaji ana hiari kuamua maisha yake kwa kuangalia factor nyingi kama vile nafasi ya kucheza, gharama za maisha, n.k.Wachezaji wanaleta mapenzi kama mashabiki.. huku wao mpira ndio kazi yao.
Kazi ya kupenda timu sio ya mchezaji. Mchezaji unapaswa tazama future yako na hela tu.
Unakataa Esperence inayogombea ubingwa wa africa kila mwaka. sababu ya ushabiki, unabaki kwa timu ambayo ikifika robo fainali tu inafanya sherehe wananchinja ng'ombe na supu
mzize Hawaoni hata mfano kwa kina Mayele, Aziz kii leo hii wapo wapi?
Mbona umetaja wachezaji wa kigeni pekee? Mtaje na Selemani Mwalimu yupo wapi? Halafu umesahau wengine wageni kama vile chama, Luis miquisone, n k ambao waliona machungu huko nje. Mchezaji ana hiari kuamua maisha yake kwa kuangalia factor nyingi kama vile nafasi ya kucheza, gharama za maisha, n.k.
Bwege wewe mzize kwani hapo hapigi hela au umeshakariri madesa nenda kacheze wewe au we hutaki pesaUliowataja Hawakuona machungu yoyote. Bali walirudi sababu walikosa namba.
Miqsone alikosa namba al ahly mpaka akatolewa kwa mkopo
Mwalimu na na yeye amepiga hela za wydad sasa ametolewa kwa mkopo.
Chama na yeye alipiga hela za waarabu, na alirudi baada ya kukosa namba.
Mzize na yeye alipaswa aende akapige hela.. kama angekosa namba ndio amgerudi .
Mbona mayele hajarudi? Sababu hajakosa namba
Bwege wewe mzize kwani hapo hapige hela au umeshakariri madesa
Nenda kacheze wewe hutaki hela?Yanga ina mishahara mikubwa kuliko esperence?
Je Yanga huwa inagombea ubingwa kama esperence?
Na hajifunzi kwa Mzawa Mrisho Ngassa!Wachezaji wanaleta mapenzi kama mashabiki.. huku wao mpira ndio kazi yao.