vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 3,128
- 5,862
Mafanikio ya mchezaji sio tu kupata ela bali kuwa na uhakika wa namba kwenye kikosi. Selemani Mwalimu tokea aende Wydad hata miezi 6 hajafikisha unasema kapiga ela je wewe ndiye uliyekuwa unazishika ela zake baada ya makato na matumizi kujua ni kiasi cha hiyo ela?Uliowataja Hawakuona machungu yoyote. Bali walirudi sababu walikosa namba.
Miqsone alikosa namba al ahly mpaka akatolewa kwa mkopo
Mwalimu na na yeye amepiga hela za wydad sasa ametolewa kwa mkopo.
Chama na yeye alipiga hela za waarabu, na alirudi baada ya kukosa namba.
Mzize na yeye alipaswa aende esperence akagombee ubingwa wa africa na akapige hela .. kama angekosa namba ndio amgerudi .
Mbona mayele hajarudi? Sababu hajakosa namba
Chama na Luisi wangekuwa na maisha mazuri ya kuwaza pesa usingeona wakitamani kurudi bongo, kukaa benchi kwa mchezaji kunaumumiza hata uwe unapata pesa. Kwavile hujui mpira ndio maana unaona ni sawa tu kukaa benchi upate ela. Ila ushahidi na uthibitisho kuwa benchi halifai upo wazi kwa wachezaji walioenda nje na kisha kutaka kurudi bongo.