Dogo nmebaki kumuhurumia sana ...wanamtumia kama toilet paper ..na zaidi naona Hana msimamo ..mtu wa kwanza ambaye unatakiwa uwe na urafiki nae wa karibu sana kwenye masuala haya ya uhamisho wa mchezaji ni familia , pili wakala wako ..hata ulaya wachezaji wnaathamini sana familia na wakala wake na wakala hua kama familia kabisa ...Sjawah kuona eti mchezaji anashauriana na timu...eti anapokea ushaur wa timu na kirais chake...Wachezaji wanaleta mapenzi kama mashabiki.. huku wao mpira ndio kazi yao.
Kazi ya kupenda timu sio ya mchezaji. Mchezaji unapaswa tazama timu zinazokupa exposure kubwa na mshahara mkubwa
Unakataa Esperence inayogombea ubingwa wa africa kila mwaka. sababu ya ushabiki, unabaki kwa timu ambayo ikifika robo fainali tu inafanya sherehe wananchinja ng'ombe na supu
mzize Hawaoni hata mfano kwa kina Mayele, Aziz kii leo hii wapo wapi?
Wewe ni hewa empty set na zaidi hujui mpira ...kama hujaelewa hio comment. Kunguni ni injinia wa mchongo amefanya uhuni na kumrubuni ama kuzuia rizk ya dogo ...amekua brain washed na nanyie makunguni OG maskin ya Mungu ...Kama walikosa namba ma ake hao ni mafailure tu
So mzinze acha aishi yanga asije akae.da akafeli kama hao kunguni wenu
Milele AMINA kaka tuombeane baraka mtumishSawa mtumishi...tumsifu Yesu Kristu...
Kavumiliwa Nkane sembuse yeye?Nahisi Atakua na msimu mgumu unqofuata na watamtema au apelekwe Singida kwa mkopo
Wewe ndio Jasimin? mbona hili swala umelivalia dera?Dogo nmebaki kumuhurumia sana ...wanamtumia kama toilet paper ..na zaidi naona Hana msimamo ..mtu wa kwanza ambaye unatakiwa uwe na urafiki nae wa karibu sana kwenye masuala haya ya uhamisho wa mchezaji ni familia , pili wakala wako ..hata ulaya wachezaji wnaathamini sana familia na wakala wake na wakala hua kama familia kabisa ...Sjawah kuona eti mchezaji anashauriana na timu...eti anapokea ushaur wa timu na kirais chake...
Jasmine mwenyewe huyoWewe ndio Jasimin? mbona hili swala umelivalia dera?
Acha ujuaji weweWachezaji wanaleta mapenzi kama mashabiki.. huku wao mpira ndio kazi yao.
Kazi ya kupenda timu sio ya mchezaji. Mchezaji unapaswa tazama timu zinazokupa exposure kubwa na mshahara mkubwa
Unakataa Esperence inayogombea ubingwa wa africa kila mwaka. sababu ya ushabiki, unabaki kwa timu ambayo ikifika robo fainali tu inafanya sherehe wananchinja ng'ombe na supu
mzize Hawaoni hata mfano kwa kina Mayele, Aziz kii leo hii wapo wapi?
Kwa akili zako ulitaka wachezaji gani waipeleke Yanga huko kombe la dunia la vilabu kama mnataka wachezaji wazuri watoke?Yanga ina mishahara mikubwa kuliko esperence?
Je Yanga huwa inagombea ubingwa wa Africa kama esperence?
Na je yanga inachezaga Fifa club world cup kama esperence?
Kolo umejicha kwenye kichaka Cha kumuonea huruma jasmini na kutupa lawama kwa mzizeKwa kitendo cha Clement Mzize kukubali aliekua msimamizi wake kukejeliwa na klabu pamoja na viongozi waliopo kwenye idara ya habari ya klabu ni kumkosea heshma na nimeshangazwa sana kuona Mzize anakubali hili wakati amewahi kusaidiwa na yule Mama
Bila shaka wachezaji wetu mbeleni watapitia maisha magumu na watakosa watu wa kuwasimamia kwasababu ya makosa yanayofanywa na wazawa wa sasa kisa uswahili na kukosa heshima na kutokua na msimamo pia kutanguliza mahaba badala professionalism na pesa.
Pole sana dogo kwa kutema big G kwa karanga za kuonjeshwa.
Acha ujuaji wewe
Hujui kitu kuhusu biashara ya wachezaji. Ulianza kumjua mzize lini? Alikuwa wapi na akifanya nn?
Yanga walimtoa wapi mzize hata ubweke hapa juu yake? Unajua thamani ya pesa i iliyotumika mpaka kumfikisha pale?
So ulitaka auzwe tu hata kwa hasara ili mradi ni wydad sijui raja?
Mpira ni biashara tofauti na hiyo ya kwako ya ku beti hapo
Kwa akili zako ulitaka wachezaji gani waipeleke Yanga huko kombe la dunia la vilabu kama mnataka wachezaji wazuri watoke?
Mbumbumbu wewe
Wewe unaijuaje thamani ya kitu hapo ulipo? Nani anapaswa kupanga bei?Ofa ya 1 million dollar ni ndogo. Na Je Sio biashara.
Hata Aziz kii mwenyewe ameondoka hajafikia hiyo hela ya 1 million dollar
Hata chama kwenye ubora wake hakufikia hiyo offa
Hata mayele mwenyewe wakati anaondoka hakufikia hiyo offa
Yanga imekubali offa ya dola laki 8 na kumuuza mchezaji wake bora Aziz kii.. halafu tena yanga hiyo hiyo ikatae dola milioni moja kwa mzize.
Je yanga inampa mzize hizo bilioni mbili na nusu?
Ubora! Ubora kwenye nn sasa?Yanga imemuuza aziz kii kwa dola laki 8, halafu maajabu inakataa dola milioni moja kwa mzize?
Je aziz kii na mzize nani ana ubora na thamani kali?
Kama sio kumbania mzize tu.
Hata kina mayele wameondoka bila kuuzwa kwa hiyo bei ya kufikia 1 million dollar
Wewe unaijuaje thamani ya kitu hapo ulipo? Nani anapaswa kupanga bei?
Chama aliuzwa lini? Sasa ni lini?
Maswali ni mengi ila wewe unaongozwa na wachambuzi wa bongo hawajui lolote
Kacheze wewe na umchague kuwa wakala wako ili ukacheze nje.Kwa kitendo cha Clement Mzize kukubali aliekua msimamizi wake kukejeliwa na klabu pamoja na viongozi waliopo kwenye idara ya habari ya klabu ni kumkosea heshma na nimeshangazwa sana kuona Mzize anakubali hili wakati amewahi kusaidiwa na yule Mama
Bila shaka wachezaji wetu mbeleni watapitia maisha magumu na watakosa watu wa kuwasimamia kwasababu ya makosa yanayofanywa na wazawa wa sasa kisa uswahili na kukosa heshima na kutokua na msimamo pia kutanguliza mahaba badala professionalism na pesa.
Pole sana dogo kwa kutema big G kwa karanga za kuonjeshwa.
Ubora! Ubora kwenye nn sasa?