Mafanikio ya mchezaji sio tu kupata ela bali kuwa na uhakika wa namba kwenye kikosi. Selemani Mwalimu tokea aende Wydad hata miezi 6 hajafikisha unasema kapiga ela je wewe ndiye uliyekuwa unazishika ela zake baada ya makato na matumizi kujua ni kiasi cha hiyo ela?Uliowataja Hawakuona machungu yoyote. Bali walirudi sababu walikosa namba.
Miqsone alikosa namba al ahly mpaka akatolewa kwa mkopo
Mwalimu na na yeye amepiga hela za wydad sasa ametolewa kwa mkopo.
Chama na yeye alipiga hela za waarabu, na alirudi baada ya kukosa namba.
Mzize na yeye alipaswa aende esperence akagombee ubingwa wa africa na akapige hela .. kama angekosa namba ndio amgerudi .
Mbona mayele hajarudi? Sababu hajakosa namba
Pongezi sana zimwendee streka hatari Mzize. Amethibitisha kuwa anajitambua. Yule mama ni mpigaji tu, mtafuteni MsuvaKwa kitendo cha Clement Mzize kukubali aliekua msimamizi wake kukejeliwa na klabu pamoja na viongozi waliopo kwenye idara ya habari ya klabu ni kumkosea heshma na nimeshangazwa sana kuona Mzize anakubali hili wakati amewahi kusaidiwa na yule Mama
Bila shaka wachezaji wetu mbeleni watapitia maisha magumu na watakosa watu wa kuwasimamia kwasababu ya makosa yanayofanywa na wazawa wa sasa kisa uswahili na kukosa heshima na kutokua na msimamo pia kutanguliza mahaba badala professionalism na pesa.
Pole sana dogo kwa kutema big G kwa karanga za kuonjeshwa.
Kama walikosa namba ma ake hao ni mafailure tuUliowataja Hawakuona machungu yoyote. Bali walirudi sababu walikosa namba.
Miqsone alikosa namba al ahly mpaka akatolewa kwa mkopo
Mwalimu na na yeye amepiga hela za wydad sasa ametolewa kwa mkopo.
Chama na yeye alipiga hela za waarabu, na alirudi baada ya kukosa namba.
Mzize na yeye alipaswa aende esperence akagombee ubingwa wa africa na akapige hela .. kama angekosa namba ndio amgerudi .
Mbona mayele hajarudi? Sababu hajakosa namba
Alimsaidia kwa lipi zaidi ya kumdailisha Dini mtoto wa watu.Kwa kitendo cha Clement Mzize kukubali aliekua msimamizi wake kukejeliwa na klabu pamoja na viongozi waliopo kwenye idara ya habari ya klabu ni kumkosea heshma na nimeshangazwa sana kuona Mzize anakubali hili wakati amewahi kusaidiwa na yule Mama
Bila shaka wachezaji wetu mbeleni watapitia maisha magumu na watakosa watu wa kuwasimamia kwasababu ya makosa yanayofanywa na wazawa wa sasa kisa uswahili na kukosa heshima na kutokua na msimamo pia kutanguliza mahaba badala professionalism na pesa.
Pole sana dogo kwa kutema big G kwa karanga za kuonjeshwa.
Ataimbwa mara dufu kuanzia siku ya ngao ya jamiiMim sio Kama namtabilia mabaya hapan ila msimu ujao mzize hataimbwa Kama msimu uliopita ...... Na pengine Hata akakosa ushawish wa timu za nje Yani anachezea shilingi mdomoni ngoja aimeze ndo atajua hakuwa katika maamuz mazur.......
Nahisi Atakua na msimu mgumu unqofuata na watamtema au apelekwe Singida kwa mkopoKwa kitendo cha Clement Mzize kukubali aliekua msimamizi wake kukejeliwa na klabu pamoja na viongozi waliopo kwenye idara ya habari ya klabu ni kumkosea heshma na nimeshangazwa sana kuona Mzize anakubali hili wakati amewahi kusaidiwa na yule Mama
Bila shaka wachezaji wetu mbeleni watapitia maisha magumu na watakosa watu wa kuwasimamia kwasababu ya makosa yanayofanywa na wazawa wa sasa kisa uswahili na kukosa heshima na kutokua na msimamo pia kutanguliza mahaba badala professionalism na pesa.
Pole sana dogo kwa kutema big G kwa karanga za kuonjeshwa.
Time will Tell!We bwege amekutuma? Huyo danga aende yeye kucheza, amezoea kuvuna bila kupanda, ahenyeke Mzize yeye amelaza matako yake anasubiri pesa. Anataka amtumie kwa maslahi yake
Exactly. muda ni Hakimu mzuri!Mim sio Kama namtabilia mabaya hapan ila msimu ujao mzize hataimbwa Kama msimu uliopita ...... Na pengine Hata akakosa ushawish wa timu za nje Yani anachezea shilingi mdomoni ngoja aimeze ndo atajua hakuwa katika maamuz mazur.......
Kwamba wewe ndio mtoa haki huna akili kumbeTime will Tell!
Hakuna kitu kama hicho,Mzize ndio kwanza gari limewaka so tarajia kuona ubora wake ukiongezeka maradufu.Mim sio Kama namtabilia mabaya hapan ila msimu ujao mzize hataimbwa Kama msimu uliopita ...... Na pengine Hata akakosa ushawish wa timu za nje Yani anachezea shilingi mdomoni ngoja aimeze ndo atajua hakuwa katika maamuz mazur.......
Chizi wewe/wapi nimesema mimi nimtoa haki? Nimesema muda utaongea kama mzize yupo sahihi au La!!Kwamba wewe ndio mtoa haki huna akili kumbe