DOKEZO Clinic ya Marie Stopes Mwanza inatoa huduma za utoaji mimba (abortion)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ni sawa, ila kwa Tanzania hawakupewa usajili kwa ajili ya kutoa huduma za abortion, maana ni kinyume cha sheria za nchi.
 
Sawa nimekuelewa sasa! Ni sawa kuwa Leseni yao ya Tanzania sio kama ile ya UK ! Hapo sawa . Sasa nimeelewa
 
Ni sawa, ila kwa Tanzania hawakupewa usajili kwa ajili ya kutoa huduma za abortion, maana ni kinyume cha sheria za nchi.
Yes, yaani walivyosajiliwa hapa bongo kama Marie Stopes Tanzania, imebidi waendane na sheria ya nchi, hivyo abortion haikwepo katika moja ya huduma ambazo wamekua authorized kuzitoa nchini, maana sheria ya nchi hairuhusu.
Ila ndo hivyo wanafanya kinyemela.
 
Sijasema iruhusiwe nimesema angalia huyo anaeamua kutoa mimba ana hali gani, unajua binadamu mnajua kulaumu tu hamjui kuangalia upande wa pili nini kimepelekea atoe mimba?
Hatuwezi kujadili hali ya mtoa mimba wakati sheria hairuhusu,anatoa kwa sheria ipi?mbona huku mtaani akitoa mimba akikamatwa anashtakiwa?na daktari nae ananyang'anywa leseni?kwanini kuwe na double standard,Hao Marie Stops nani kawaruhusu kutoa mimba?
 
Hatuwezi kujadili hali ya mtoa mimba wakati sheria hairuhusu,anatoa kwa sheria ipi?mbona huku mtaani akitoa mimba akikamatwa anashtakiwa?na daktari nae ananyang'anywa leseni?kwanini kuwe na double standard,Hao Marie Stops nani kawaruhusu kutoa mimba?
Wanao support abortion nadhani approach yao inabidi kuwa kufanya ushawishi zaidi kwa wizara ya Afya na wizara ya sheria ili mabadiliko ya sheria yafanyike waruhusu abortion nchini. Ila sio ku support uvunjaji wa sheria unaoendelea kwa kigezo cha kwamba ni uamuzi wa mtoaji.
 
sasa ya mwenge ndo balaa, vitoto vya ustawi wa jamii vimeharibu vizazi vyao hapo, na zaidi ustawi magonjwa ya,zinaa PID,KISONONO na KASWENDE ndo usiseme, ukienda hapo marie stopes utakutana na foleni ya vitoto vya ustawi.
.WAZAZI NA,WALEZI WAELIMISHENI MABINTI ZENU, watakosa kuzaa maana via vya uzazi vinaharibiwa mno
 
Duuuhhh hatari sana!!
Sasa mamlaka hazijui haya? Kwa nini hawachukui hatua?
 
Unawaharibia watu biashara zao
 
Unafahamu kuwa utoaji wa mimba ni kinyume cha sheria kwa nchini Tanzania? Wanatoaje huduma ambayo sheria yetu hairuhusu? Hata wao wanajua hawafanyi sawa ndio maana wanadanganya kwenye ku document.

Watu wamechoka maneno wanayopewa single mother wanaona bora kutoa tu
 
Hapana, soma vizuri uzi wangu. Nimeona tu siwezi kuendelea kushiriki hili. Nimeamua kupaza sauti ili mamlaka husika zichukue hatua stahiki.
Baada ya kuzikusanya hizo hela kutokana na kutoa mimba mpaka umetosheka sasa hivi ndio unajifanya huwezi endelea kushiriki?? Kama kuua umeshaua na hata ukipaza sauti haitabadilisha wewe ni muuwaji shame on you.....acha unafiki ungepaza sauti kabla hujajihusisha nao eti leo shida zako zimeisha unajifanya nyoko nyoko....hypocrite!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kazi sana hiyo jamaa kukuelewa, wafunga kituo unakuta ndiyo wafadhili wa hizo ishu, dunia uwanja wa fujo aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…