Ni Kweli Ni cc nakumbuka nikiwa mbeya bint alipata ujauzito katu katu akagoma kutunza anadai hayuko tayari kwa Sasa kubeba mimba nikamuambia nitamsadia ila hakunisikiaaa bas nikatoa kitita Cha elf 45 akapatiwa tudonge ambazo aliambiwa azinywe na zingine aziweke kwenye ndani ya sehem zake za Siri Kisha mzigo utashukaa wenywew najuta Sana hyo kitu na mbaya Zaid Ni pesa zangu zilitumika kuzitoa
Yaani ukiona idadi ya mimba zinazoflashiwa hapa Marie stopes Mwanza kila siku, unaweza ukatoa machozi. Wengi wao ni wanafunzi wa vyuo maarufu vya hapa Mwanza (sitaki kuvitaja).