DOKEZO Clinic ya Marie Stopes Mwanza inatoa huduma za utoaji mimba (abortion)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ilianzishwa kwa ajili ya utoaji Mimba huko UK. Hii ndo kazi yake ya kwanza kabisa kwenye katiba yao
 
Ulivopresent mada kama una wa accuse hao jamaa.
Private institution zinahitaji pesa ili kujiendesha.
Kwa hiyo sitakiwi kuwa accuse hata kama wanafanya mambo ambayo ni kinyume cha sheria? Najua kuwa private facilities zinahitaji pesa kujiendesha, lakini je hiyo inatosha kuzifanya zifanye mambo kinyume cha sheria za nchi?
 
hapa kuna exceptions kadhaa
Hizo exceptions zinajulikana ni pale ambapo mimba kuendelea kuwepo kunahatarisha uhai wa mama. In this case mimba zinazotolewa hapa hakuna any medical indication. Ndio maana hata jinsi wanavyo document wanadanganya, so wanajua sana wanachokifanya kuwa ni nje ya sheria.
 
Kwa hiyo sitakiwi kuwa accuse hata kama wanafanya mambo ambayo ni kinyume cha sheria? Najua kuwa private facilities zinahitaji pesa kujiendesha, lakini je hiyo inatosha kuzifanya zifanye mambo kinyume cha sheria za nchi?
Ukienda na siasa zako utajibiwa ki sayansi na utafyata mdomo wako.
Wao wanajua kwamba ni kinyume na Sheria lakini ukiambiwa upeleke evidence ya mimba iliyotoka utaweza? Au unaongea Kwa mihemko.
 
Upo tayari kutoa ushahidi??.
 
Ukienda na siasa zako utajibiwa ki sayansi na utafyata mdomo wako.
Wao wanajua kwamba ni kinyume na Sheria lakini ukiambiwa upeleke evidence ya mimba iliyotoka utaweza? Au unaongea Kwa mihemko.
Kwa hiyo unashauri nipige kimya tu, nisifanye chochote hata kusema kuhusu hili? Au unashauri nini haswa? Maana unakubali kuwa wanafanya kinyume cha sheria, ila wana loophole ya kujificha na wanaitumia hiyo, so tuache tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…