Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Wewe utapata faida gani !?
Mkuu mambo mengine ukiyasikiliza unabaki unajiuliza maswali mengi, hivi mleta mada kasukumwa na chuki binafsi au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe utapata faida gani !?
Clouds napend sana magazeti lkn awe PJ na Hando.... Jioni ni zamani alivyo kuwepo Gadna na Anold Kayanda.... Hao ndo saizi yangu. ....diva ...ndo uuuuuuiiiiii simuwezi... Milad namfatilia mitandaoni na mara chache j2....mhhhhhhhhhhhhhhh kuna muda ukimskiliza kibonde unajua kabisa huyu jamaa kalewa ...
mi naskiliza clouds tangu asubuhi mpaka saa 7 mchana kisha milad ayo
diva hata akitumbuliwa saa hii atumbuliwe tu kile kipindi maadili yake ni0.....................
Achana nae Zika iligundulika kwake..Dunia nzima inahahaMOTOCHINI inaelekea una kichwa kidogo kama mbegu ya ubuyu.
nimetulia Mkuuu!! tena mguu sawaMzee hapo usiguse, tulia hivyo hivyo!
Walitoka kina Kipanya, Dina Marios na bado Jamaa wako vilevile....watumbuliwe tu kama wanaleta upuuz
Kutumbua majipu imekuwa lugha maarufu tangu kuingia madarakani kwa Rais, Dkt John Magufuli. Watumishi wa Umma wanaoshindwa kutimiza vyema majukumu yao wanafukuzwa au kusimamishwa kazi mara moja, huko ndio kutumbua majipu.
Kutumbua majipu kumeanza kutumika katika sekta binafsi ambapo wafanyakazi maarufu wa Clouds Fm, wametumbuliwa.
Habari zinasema kwamba PJ, Abel Onesmo na Gerald Hando watapigwa chini kuanzia mwezi April mwaka huu. Kwa kawaida, Clouds wana utaratibu wa kutoa mikataba mipya kila ifikapo April 1.
Katika zoezi hilo kuna wafanyakazi wapya wanaopewa mikataba na wale wa zamani ambao kituo kinawahitaji "hurenew" mikataba yao.
Imefahamika kwamba PJ , Abel Onesmo na Gerald Hando ambao wote wanatoka kipindi cha Power Breakfast (PB) watapigwa chini mwezi huu au kwa kauli ya mjini ni kwamba "Watatumbuliwa".
Sababu kubwa inayotajwa ya wakongwe hao kupigwa chini ni kushindwa kuendana na taratibu za kampuni hiyo kongwe na kinara katika sekta ya Burudani nchini kwani wanajiona wao wako juu ya watu wote.
Pia inasemekana suala la Rais Magufuli kupiga simu kwenye kipindi cha Clouds 360 limewauma sana kwani walikuwa wanaamini wao ndio kipindi bora zaidi cha asubuhi hivyo Suala la Magufuli kupiga simu 360 limeprove "otherwise".
Inadaiwa kuwa msuguano mkubwa ulianza wakati wa kipindi cha uchaguzi kutokana na kutumika kisiasa na kulipwa na baadhi ya wanasiasa ili watumie Power Breakfast kama jukwaa la kuwasafisha kinyume na maadili ya kazi yao yanayosisitiza "neutrality" katika kutoa habari.
Vilevile habari za kuaminika kutoka ndani ya Clouds zinasema kwamba tayari Clouds Media Group imeajiri vichwa vipya ambavyo kuanzia tarehe 1 vitaanza kupiga kazi.
Clouds nao wametumbua!
Mie mnashindwa kuelewaMkuu mambo mengine ukiyasikiliza unabaki unajiuliza maswali mengi, hivi mleta mada kasukumwa na chuki binafsi au?
Mbona anajiheshimu sana mkuu, au una ugomvi naye?mhhhhhhhhhhhhhhh kuna muda ukimskiliza kibonde unajua kabisa huyu jamaa kalewa ...
mi naskiliza clouds tangu asubuhi mpaka saa 7 mchana kisha milad ayo
diva hata akitumbuliwa saa hii atumbuliwe tu kile kipindi maadili yake ni0.....................
Hujaulizwa yote hayo lakinSeriously clouds Hamna kitu! Me niliacha kusikiliza officially 2010! Huwezi kuamini lakini ukweli Ndio huo! Tatizo wanajiona wajuaji sana! Clouds tv Ndio sijawahi Kabisa kuangalia! Hata sijui logo Yao inafafanaje labda Kama ndo Ile ya kwenye microphone zao hua naiona kupitia kituo kingine wanapofanya mahojiano Na mtu waandishi wengi wakiwepo including hao clouds!
ooh nshaenda leo asubuhi, nimeambiwa niende ijumaa kwa ajil ya interview.Mkuu wakitoka tu m naingia ....umeshachelewa
Freduwa kahamia clouds?Redio ya matangazo.. Nikitaka kusikiliza Matangazo nafungulia Clouds FM.. Sijawahi kuangalia clouds tv iliyosifiwa na Magu ila kwenye upande wa redio hakuna kitu mtu kama fred fredwaa.. Hakuna kitu pale.. Redio na vipindi vinaendeshwa shaghala baghala
Anasikiliza Mkuu wa Nchi we Kapuku wa Nchangimbore unatusumbua huku eti hausikilizi kojoa ulale hebuSeriously clouds Hamna kitu! Me niliacha kusikiliza officially 2010! Huwezi kuamini lakini ukweli Ndio huo! Tatizo wanajiona wajuaji sana! Clouds tv Ndio sijawahi Kabisa kuangalia! Hata sijui logo Yao inafafanaje labda Kama ndo Ile ya kwenye microphone zao hua naiona kupitia kituo kingine wanapofanya mahojiano Na mtu waandishi wengi wakiwepo including hao clouds!