Clouds FM kuwatema watangazaji PJ, Gerald Hando na Abel Onesmo wa Power Breakfast

Clouds FM kuwatema watangazaji PJ, Gerald Hando na Abel Onesmo wa Power Breakfast

kama alivyopwaya fredwa leo sidhani kama kitasikilizwa tena aisee. ngojea tuone maana wote wawili hawakuwepo leo pengine utekelezaji ushaanza.
Huyo Fredwaa huwa anaanza sentensi alafu kabla hajaimaliza anasahau alivyoianza.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mimi hizi taarifa sijaziamini bado, kunakipindi ilivuma Fetty,Mchomvu Na B12 wamepigwa chini kumbe ilikuwa kick tu, pia Fetty Na Mchomvu walitoleana maneno makali on air nayo ilikuwa kiki
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Niseme ukweli kuwa PJ,Hando Na Barbara Hassan ndio pekee walikuwa wananivutia kusikiliza clouds . Sasa sijui
 
Sikukuu ya wajinga. Ila kama ikitokea hivyo ni sawa maana kila jambo lina mwisho
 
Gerald hando unayo experience kubwa / katika entertainment ni wakati wako sasa wa kupalani ni jinsi gani UTAANZISHA RADIO YAKO.
wish you well.
never minds.
 
matundu yako Hando anayatumia vizuri kweli? maana unahangaika sana
Only thing I care about ni matundu yako ambayo nilikuwa nayatumia efficiently and effectively, till today. Kumbe nyero lako lina kazi nyingine ya ziada ya kusambaza umbeya zaidi ya kuhimili uume wangu. Sasa rejea ushuzi wako hapo juu baada ya Ruge kukanusha kufukuzwa kwa PJ na Hando.
 
TAARIFA Nilizonazo Ni Kwamba Kuna CHEMBE CHEMBE Zote Za UKWELI ULIOTUKUKA Kwamba Jamaa Wametemwa. Mleta UZI Hongera Sana Na Mno Kwa Kuja Na TAARIFA Hii MUHIMU. Hauko Mbali Na USAHIHI Wake. Jamaa Ndiyo Bye Bye Labda Huruma Za Members Humu Ziwaingie WAAJIRI Wao Wawasamehe Wabadilishe Mawazo.
Boss Kiwembe leo.ameongea
Cc Nifah
 
Onyo kwa Watangazaji,mnapokuwa na ajira kituo X basi msipende kutoa maneno ya kashfa kituo Y,vituo hivyo sio vyenu kuna leo na kesho.
Aione inayomhusu
 
Huyu fredwaaa aliwah kunifanya nisiende shule nikiea fom two...ili nisikilize kile kipindi chake cha asbh anacheka na vitoto vyake studio...mara sindano tano za moto...aisee....

Akauliza swali ...Je ni sehem ipi ya mwili inaweza kuongezeka umbo lake mara mbili ya ukubwa wake.....kisha ikasinyaa na kurudi kama ilivyokuwa......daah fredwaa alipinda aisee....jibu lake sasa akatoa jibu eti ni hiyo mboni yako ya jicho nyeusi...kwenye giza inaongezeka...kwenye mwanga inapungua.....hahaaaaaa jamaa alikuwa nuksiiiiiiii.....miaka ya 2002 hiyo.

Kipindi kingine alichokuwa ananikalisha chini ni kile cha JE HUUUU NI UNGWANAA......LA HASHA HUU SI UNGWANA....ANAMALIZIA NA CHEKO HAHAAAAAAAA

Fred nini tatzo kaka.....au uzee....ulikuwa unajaza sauti kwenye speaker ya radio yoyote ile ..what went wrong???
DAVID BECKHAM ALIVYOTOKA MAN U NA KUENDA REAL MADRID ALIFUNIKWA KABISA.. JE UNAJUA NI KWA NINI????
 
E-FM ni moja ya radio zinazo sikilizwa na watu wengi nchini ukizingatia population kubwa ya nchi hii hipo Dares-salaam.

Pamoja wako Dar tuu kwa sasa lakini wameshika sana ni moja ya radio bora kabisa!

Kimsingi ukitoa Clouds Fm inayofata ni E-FM..
Though wanafanya vizur,ukiiacha East Africa radio unaikosea heshima.EA radio ni radio muhimu sana kwa vijana na wao na EATV ndo wanaongoza kwa ubunifu kwa youth media
 
Back
Top Bottom