lukindo
JF-Expert Member
- Mar 20, 2010
- 8,466
- 9,038
Haswaa. tatizo kubwa ni perception na nasikitika kwa hilo!Kaka kwasasa husikilizi hii mawingu studio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswaa. tatizo kubwa ni perception na nasikitika kwa hilo!Kaka kwasasa husikilizi hii mawingu studio?
Huyo Fredwaa huwa anaanza sentensi alafu kabla hajaimaliza anasahau alivyoianza.kama alivyopwaya fredwa leo sidhani kama kitasikilizwa tena aisee. ngojea tuone maana wote wawili hawakuwepo leo pengine utekelezaji ushaanza.
Mbona umeruka sana hatua, ni Bodaboda...baadae ndio itakuwa daladala.Eti E Fm yaani wanashuka Kwenye Ndege wanapanda daladala ya Mbezi-Msata
Nitajitahidi nife kabla yao.Wakifa je??
Wamemdharau kweli, akufukuzae hakwambii tokaMusa Husein yuko Leo tena
Halafu ndo ataachiwa kipindi!Huyo Fredwaa huwa anaanza sentensi alafu kabla hajaimaliza anasahau alivyoianza.
HapanaHivi fredwaa ndo fredy macha wa makala ya salamu kutoka London kwenye gazeti la mwananchi?
Only thing I care about ni matundu yako ambayo nilikuwa nayatumia efficiently and effectively, till today. Kumbe nyero lako lina kazi nyingine ya ziada ya kusambaza umbeya zaidi ya kuhimili uume wangu. Sasa rejea ushuzi wako hapo juu baada ya Ruge kukanusha kufukuzwa kwa PJ na Hando.matundu yako Hando anayatumia vizuri kweli? maana unahangaika sana
Boss Kiwembe leo.ameongeaTAARIFA Nilizonazo Ni Kwamba Kuna CHEMBE CHEMBE Zote Za UKWELI ULIOTUKUKA Kwamba Jamaa Wametemwa. Mleta UZI Hongera Sana Na Mno Kwa Kuja Na TAARIFA Hii MUHIMU. Hauko Mbali Na USAHIHI Wake. Jamaa Ndiyo Bye Bye Labda Huruma Za Members Humu Ziwaingie WAAJIRI Wao Wawasamehe Wabadilishe Mawazo.
DAVID BECKHAM ALIVYOTOKA MAN U NA KUENDA REAL MADRID ALIFUNIKWA KABISA.. JE UNAJUA NI KWA NINI????Huyu fredwaaa aliwah kunifanya nisiende shule nikiea fom two...ili nisikilize kile kipindi chake cha asbh anacheka na vitoto vyake studio...mara sindano tano za moto...aisee....
Akauliza swali ...Je ni sehem ipi ya mwili inaweza kuongezeka umbo lake mara mbili ya ukubwa wake.....kisha ikasinyaa na kurudi kama ilivyokuwa......daah fredwaa alipinda aisee....jibu lake sasa akatoa jibu eti ni hiyo mboni yako ya jicho nyeusi...kwenye giza inaongezeka...kwenye mwanga inapungua.....hahaaaaaa jamaa alikuwa nuksiiiiiiii.....miaka ya 2002 hiyo.
Kipindi kingine alichokuwa ananikalisha chini ni kile cha JE HUUUU NI UNGWANAA......LA HASHA HUU SI UNGWANA....ANAMALIZIA NA CHEKO HAHAAAAAAAA
Fred nini tatzo kaka.....au uzee....ulikuwa unajaza sauti kwenye speaker ya radio yoyote ile ..what went wrong???
Si.kila mchezaji anayeachwa au kukataliwa na timu ni kapi?Muulize PogbaKwahiyo E-Fm kazi yao ni kupokea "makapi" na "waliokatwa"
Though wanafanya vizur,ukiiacha East Africa radio unaikosea heshima.EA radio ni radio muhimu sana kwa vijana na wao na EATV ndo wanaongoza kwa ubunifu kwa youth mediaE-FM ni moja ya radio zinazo sikilizwa na watu wengi nchini ukizingatia population kubwa ya nchi hii hipo Dares-salaam.
Pamoja wako Dar tuu kwa sasa lakini wameshika sana ni moja ya radio bora kabisa!
Kimsingi ukitoa Clouds Fm inayofata ni E-FM..