Clouds FM kwanini mnasema wazi kuwa Yanga na Singida BS ni ndugu?

download (1).jpeg
 
Nimesikitishwa na kituo cha clouds FM kusema ati Yanga na SBS ni ndugu na wana jambo lao Moja

Clouds FM ni media ambayo imejijengea heshima Kwa muda mrefu, kwanini Sasa inataka kujiondelea hiyo heshima

Mmejiajiri media personnel wasio kuwa na waledi

Yaani undugu wa Yanga na Singida BS unatoka wapi

Singida Black Stars ni team inafanya biashara na timu zote
Imefanya biashara na Simba wakichukua wachezaji akina Aishi Manula, Kennedy, Yusuph Kagoma na wengine
Kwanini biashara ikifanyika dhidi ya Yanga ionyeshe hujuma

Hoja ya udhamini wa GSM
GSM sio mmiliki wa Yanga,GSM ni mfanyabiashara, Yeye anatangaza biashara zake kupitia timu za mpira,
Wala udhamini wake hauathuri chochote

Clouds FM jitathimini haraka na mbadilike
Halhtj Phd kujua singida na yanga ni ndugu
 
Kuna haja viongoxi watoke waliseme hili linatukera sisi mashabiki hasa yakisemwa na watu wengine. Mimi nauona upinzani wa kawaida na sioni dalili yoyote ya ukanjanja. Ila macho kuvimba hawakosi cha kusema
 
Hapo kwenye gsm kutangaza biashara zake kwenye timu zote hizo ndipo tatizo lilipo kwani hujui kwamba timu ikifanya vizuri ndani na kimataifa ndivyo biashara zake zinavyozidi kujulikana, na katika timu zote anazodhamini yanga ndio yenye uwezo wa kufanya vizuri sehemu zote mbili kwahiyo ni lazima afanye juu chini ili ahakikishe yanga ambayo pia ndio timu anayoshabikia inafanya vizuri, na njia mojawapo anayotumia ni pamoja na kushawishi zile timu ndogo anazozidhamini ziiachie yanga ipate ushindi dhidi yao ili yanga izidi kufanya vizuri kwenye ligi
Mbona Azam anayedhamini ligi nzuri nae hufungwa na kufunga?
Unaongea kama layman mkuu
 
1. Feisal alisajiliwa kutoka zanzibar kwenda Singida hakucheza hata Mechi moja ghafla akaibukia yanga.

2.Kiongozi mkuu wa Singida ni kiongozi wa Body ya wadhamini ya yanga.

3. Kufukuzwa kwa Patric Ausems Uchebe kulikuja kwasababu ya kutoa ushindani mkali Mechi ya yanga na singida Pale Karume Amani.

4. Kocha wa yanga ametoka singida Direct yani singida wanatafuta Ubibgwa na wanatoa kocha kwa mshindani wao.

5. Golikipa wa Songida amesaini makubaliano maaalum na yanga yani yupo singida Kwa Muda

NADHANI SHABIKI MLA MIHOGO UMEELEWA.
 
Clouds Wameamua Kuwa Wakweli Na Kusema Wazi Tatizo Watanzania Tumezoea Siasa Na Polojo Hatutaki Kuambiana Ukweli.
Mmiriki Wa Singida Ni Yanga Wa Kuchizika
Mdhamini Wa Singida Ni Mdhamini Mkuu Wa Yanga Africans
Kwa Vigezo Hivi Clauds Wana Haki Na Mamlaka Ya Kusema Walichokisema
Kama Haupendi Kusikia Ukweli Nenda Kamfuatilie Kitenge Na Vijana Wake.
 
Nimesikitishwa na kituo cha clouds FM kusema ati Yanga na SBS ni ndugu na wana jambo lao Moja

Clouds FM ni media ambayo imejijengea heshima Kwa muda mrefu, kwanini Sasa inataka kujiondelea hiyo heshima

Mmejiajiri media personnel wasio kuwa na waledi

Yaani undugu wa Yanga na Singida BS unatoka wapi

Singida Black Stars ni team inafanya biashara na timu zote
Imefanya biashara na Simba wakichukua wachezaji akina Aishi Manula, Kennedy, Yusuph Kagoma na wengine
Kwanini biashara ikifanyika dhidi ya Yanga ionyeshe hujuma

Hoja ya udhamini wa GSM
GSM sio mmiliki wa Yanga,GSM ni mfanyabiashara, Yeye anatangaza biashara zake kupitia timu za mpira,
Wala udhamini wake hauathuri chochote

Clouds FM jitathimini haraka na mbadilike
Kwani uongo?
 
Biashara za wachezaji hufanyika kote duniani
Kwani kocha wa Yanga Sead Ramovic si alienda CR Beilouzdad, au nao ni ndugu

Usiwe layman
 
Nimesikitishwa na kituo cha clouds FM kusema ati Yanga na SBS ni ndugu na wana jambo lao Moja

Clouds FM ni media ambayo imejijengea heshima Kwa muda mrefu, kwanini Sasa inataka kujiondelea hiyo heshima

Mmejiajiri media personnel wasio kuwa na waledi

Yaani undugu wa Yanga na Singida BS unatoka wapi

Singida Black Stars ni team inafanya biashara na timu zote
Imefanya biashara na Simba wakichukua wachezaji akina Aishi Manula, Kennedy, Yusuph Kagoma na wengine
Kwanini biashara ikifanyika dhidi ya Yanga ionyeshe hujuma

Hoja ya udhamini wa GSM
GSM sio mmiliki wa Yanga,GSM ni mfanyabiashara, Yeye anatangaza biashara zake kupitia timu za mpira,
Wala udhamini wake hauathuri chochote

Clouds FM jitathimini haraka na mbadilike
Acha kuppotosha Sam ameongea haoni kama ataona mechi ya kishindani wakicheza yanga na singida though ni maoni yak ndo maana hta watangazaji wenzake wakawa wanampinga. So Acha kuleta uchochezi otherwise leta video ili wadau waone. Usitulishe tango pori hapa

After all historia inaongea. Lini uliwah isikia singida Imeshinda mbelle ya yanga
 
Clouds Wameamua Kuwa Wakweli Na Kusema Wazi Tatizo Watanzania Tumezoea Siasa Na Polojo Hatutaki Kuambiana Ukweli.
Mmiriki Wa Singida Ni Yanga Wa Kuchizika
Mdhamini Wa Singida Ni Mdhamini Mkuu Wa Yanga Africans
Kwa Vigezo Hivi Clauds Wana Haki Na Mamlaka Ya Kusema Walichokisema
Kama Haupendi Kusikia Ukweli Nenda Kamfuatilie Kitenge Na Vijana Wake.
Mmiliki wa Singida BS ni nani ambaye anadhamini Yanga
Wadhamini wa Yanga ni

Sportpesa
GSM
Afya water
Whizom n.k
 
Singida big stars ni Yanga B hilo liko wazi hata mtoto wa chekechea analijua hilo.

Mmiliki wa singida mzee wa skafu ni shabiki,mwanachama na mjumbe wa bodi ya wadhamini ya yanga.

Singida ni timu ambayo ipo kimkakati kwaajili ya kushirikiana na yanga waishushe SIMBA na hadi sasa hivi wamechemka.

Yanga na singida ni timu mbili zinazofundishwa na kocha mmoja, yaani kocha wa yanga bwana hamada chapombe ndio huyo huyo kocha wa yanga.

MECHI YA LEO NI BEKA VS BAKARI.

"SIMBA BINGWA" HUTAKI KUNYA BOGA.
 
Acha kuppotosha Sam ameongea haoni kama ataona mechi ya kishindani wakicheza yanga na singida though ni maoni yak ndo maana hta watangazaji wenzake wakawa wanampinga. So Acha kuleta uchochezi otherwise leta video ili wadau waone. Usitulishe tango pori hapa
Hivi Kuna mechi ilikuwa ngumu kati Yanga vs SBS pale Amani Stadium Zanzibar
 
Hapo kwenye gsm kutangaza biashara zake kwenye timu zote hizo ndipo tatizo lilipo kwani hujui kwamba timu ikifanya vizuri ndani na kimataifa ndivyo biashara zake zinavyozidi kukuwa, na katika timu zote anazodhamini yanga ndio yenye uwezo wa kufanya vizuri sehemu zote mbili kwahiyo ni lazima afanye juu chini ili ahakikishe yanga ambayo pia ndio timu anayoshabikia inapata ushindi, na njia mojawapo anayotumia ni pamoja na kushawishi zile timu ndogo anazozidhamini ziiachie yanga ipate ushindi dhidi yao ili yanga izidi kufanya vizuri kwenye ligi
Ina maana Simba inayo fungwa mfulululizo na Yanga na yenyewe ina dhaminiwa n GSM?
 
Mbona Azam anayedhamini ligi nzuri nae hufungwa na kufunga?
Unaongea kama layman mkuu
Tofautisha kati ya kudhamini ligi na timu kadhaa kwenye ligi halafu undugu wa yanga na sbs unatokana na mwigulu nchemba ambaye ni shabiki lialia wa yanga kuinunua hiyo timu, na kuibadili jina toka ihefu hadi sbs na kuihamisha toka mbeya hadi singida na hii ni kutokana na hiyo timu kuonekana ndio timu ambayo iliisumbua yanga misimu miwili iliyoisha, kwahiyo akaona ainunue ili isifurukute kwa timu yake pendwa vinginevyo alikuwa na uwezo wa kununua timu nyingine yoyote ila kwanini anunue ihefu kwa mafanikio gani iliyowahi kuwa nayo
 
Ina maana Simba inayo fungwa mfulululizo na Yanga na yenyewe ina dhaminiwa n GSM?
Hilo kila siku mnaambiwa ila mnajitoa ufahamu tu kwani hujui kwamba ile mechi ya 1-5 kuna wachezaji walinunuliwa, akiwemo Manula na Inonga lakini wenyewe mnajua ile mechi angedaka Lakred msingepata hizo goli zote na pengine ingeisha hata draw, mechi ya marudiano bado simba ilikuwa kwenye mgogoro na ndipo mkatake advantage na hizo mechi mbili nyingine simba ilikuwa inajenga timu huku ikiwa na zaidi ya nusu ya wachezaji wageni sasa mlitegemea nini
 
Nimesikitishwa na kituo cha clouds FM kusema ati Yanga na SBS ni ndugu na wana jambo lao Moja

Clouds FM ni media ambayo imejijengea heshima Kwa muda mrefu, kwanini Sasa inataka kujiondelea hiyo heshima

Mmejiajiri media personnel wasio kuwa na waledi

Yaani undugu wa Yanga na Singida BS unatoka wapi

Singida Black Stars ni team inafanya biashara na timu zote
Imefanya biashara na Simba wakichukua wachezaji akina Aishi Manula, Kennedy, Yusuph Kagoma na wengine
Kwanini biashara ikifanyika dhidi ya Yanga ionyeshe hujuma

Hoja ya udhamini wa GSM
GSM sio mmiliki wa Yanga,GSM ni mfanyabiashara, Yeye anatangaza biashara zake kupitia timu za mpira,
Wala udhamini wake hauathuri chochote

Clouds FM jitathimini haraka na mbadilike
Mmiliki wa singida ni waziri wa fedha mwigulu lameck nchemba na ni mjumbe wa wadhamini wa klabu ya yanga sowah amesajiliwa singida kuhifadhiwa kwa majkubaliano msimu ujao acheze yanga.....usipende kukomba sufuria la supu ..
 
Tofautisha kati ya kudhamini ligi na timu kadhaa kwenye ligi halafu undugu wa yanga na sbs unatokana na mwigulu nchemba ambaye ni shabiki lialia wa yanga kuinunua hiyo timu, na kuibadili jina toka ihefu hadi sbs na kuihamisha toka mbeya hadi singida na hii ni kutokana na hiyo timu kuonekana ndio timu ambayo iliisumbua yanga misimu miwili iliyoisha, kwahiyo akaona ainunue ili isifurukute kwa timu yake pendwa vinginevyo alikuwa na uwezo wa kununua timu nyingine yoyote ila kwanini anunue ihefu kwa mafanikio gani iliyowahi kuwa nayo
Ondoa izo zote ulizotaja apo, bado Simba ndio timu iliyo fungwa zaidi na Yanga kuliko timu yoyote apa Nchini.
Kwa ujumla Simba ni tawi la Yanga.
 
Back
Top Bottom