Clouds FM kwanini mnasema wazi kuwa Yanga na Singida BS ni ndugu?

Clouds FM kwanini mnasema wazi kuwa Yanga na Singida BS ni ndugu?

Ondoa izo zote ulizotaja apo, bado Simba ndio timu iliyo fungwa zaidi na Yanga kuliko timu yoyote apa Nchini.
Kwa ujumla Simba ni tawi la Yanga.
Sasa simba na yanga si ndio timu kongwe zaidi hapa nchini kwa sasa ulitaka yanga iifunge zaidi timu gani nyingine, ungesema simba imefungwa zaidi na dodoma au tabora hapo ndio ingekuwa ajabu, haya niambie na timu inayoongoza kuifunga zaidi yanga kuliko timu yoyote hapa nchini
 
Hivi hao waaojisemesha Yanga ndo timu iliyomfunga sana Simba kwa takwimu zipi? Zile za ulozi au ambazo hazina ulozi?
 
Hakuna timu inayo
Sasa simba na yanga si ndio timu kongwe zaidi hapa nchini kwa sasa ulitaka yanga iifunge zaidi timu gani nyingine, ungesema simba imefungwa zaidi na dodoma au tabora hapo ndio ingekuwa ajabu, haya niambie na timu inayoongoza kuifunga zaidi yanga kuliko timu yoyote hapa nchini
[/QUOTE
Hakuna timu inayo ongoza kwa kuifunga Yanga.
Maanayake yote ni matawi yake
 
na njia mojawapo anayotumia ni pamoja na kushawishi zile timu ndogo anazozidhamini ziiachie yanga ipate ushindi dhidi yao ili yanga izidi kufanya vizuri kwenye ligi
Huyo mwarabu koko ni fala sana, anatumia mbinu za kitoto kuipeleka utopwinyo kimataifa kwa kununua ushindi NBCPL na ndo maana utopwinyo huwa wanapwaya kimataifa kwa sababu ubingwa wa NBCPL huupata kwa mwarabu koko kununua mechi.
 
Hilo kila siku mnaambiwa ila mnajitoa ufahamu tu kwani hujui kwamba ile mechi ya 1-5 kuna wachezaji walinunuliwa, akiwemo Manula na Inonga lakini wenyewe mnajua ile mechi angedaka Lakred msingepata hizo goli zote na pengine ingeisha hata draw, mechi ya marudiano bado simba ilikuwa kwenye mgogoro na ndipo mkatake advantage na hizo mechi mbili nyingine simba ilikuwa inajenga timu huku ikiwa na zaidi ya nusu ya wachezaji wageni sasa mlitegemea nini
Unataka kusema yanga ilivyofungwa na simba goli 5-1 mwaka 2012 unataka kusema wachezaji wa yanga walihongwa/kununuliwa?
Currently mmefungwa Mara 4 mfululizo na yanga Ina maana wachezaji wenu bado wananunuliwa?
 
Ile kauli Maarufu Ya Msemaji wa Yanga Haji Sanday Manara kuwa "

-"YANGA WENYE AKILI TIMAMU NI WAWILI TU MZEE KIKWETE NA MZEE MANARA"-

HAJI SANDAY MANARA.
Hivi ulipata kazi wewe kunguru maji? Au unatupigia kelele na ujobless wako!
Screenshot_20250217_135622_Chrome.jpg
 
Mmiliki wa singida ni waziri wa fedha mwigulu lameck nchemba na ni mjumbe wa wadhamini wa klabu ya yanga sowah amesajiliwa singida kuhifadhiwa kwa majkubaliano msimu ujao acheze yanga.....usipende kukomba sufuria la supu ..
Bodi ya wakurugenzi SBS ni makolo
 
Attachments

  • markup_1000103295.png
    markup_1000103295.png
    1.4 MB · Views: 1
Hilo kila siku mnaambiwa ila mnajitoa ufahamu tu kwani hujui kwamba ile mechi ya 1-5 kuna wachezaji walinunuliwa, akiwemo Manula na Inonga lakini wenyewe mnajua ile mechi angedaka Lakred msingepata hizo goli zote na pengine ingeisha hata draw, mechi ya marudiano bado simba ilikuwa kwenye mgogoro na ndipo mkatake advantage na hizo mechi mbili nyingine simba ilikuwa inajenga timu huku ikiwa na zaidi ya nusu ya wachezaji wageni sasa mlitegemea nini
Acha kuwa mbumbumbu
Simba na timu yoyote kufungwa ni kawaida
Madrid kafungwa na madogo wa Barcelona lakini hakuna lawama na watu wanachukulia ni matokeo ya football
Yaani Inonga na Manula professional footballer wakongwe ili wafungiwe?
 
Ile kauli Maarufu Ya Msemaji wa Yanga Haji Sanday Manara kuwa "

-"YANGA WENYE AKILI TIMAMU NI WAWILI TU MZEE KIKWETE NA MZEE MANARA"-

HAJI SANDAY MANARA.
Mmiliki wa Singida bwana Madelu ndiye mmiliki wa Yanga,au hujui kuwa mjumbe wa baraza la wadhamini maana yake ni mmoja wa wamiliki wa timu?
 
Attachments

  • Screenshot_20250217-152029.png
    Screenshot_20250217-152029.png
    712.7 KB · Views: 1
Vituo vingi vya redio vina watangazaji Makanjanja, Ukweli ni kuwa Mechi ya kwanza ya Singida Big Star vs Yanga iliyochezwa Aman Stadium Zanzibar

Ndio Mechi pekee iliyokua na ushindani kuanzia kwa Makocha mpaka wachezaji uwanjani.

Ni moja ya Mechi iliyochezwa kwa daraja la juu kabisa la Ushindani uwanjani uku marefa wakichezesha fair kabisa.

Awa wachambuzi njaa wanaolipwa 10,000/= wengi hawana uwezo wa kuchanganua soka.
Na ndiyo mechi iliyomfukuzisha kocha wa Singida bwana Uchebe kwa kudhamiria kuifunga Yanga.Kocha mpya hataki kufukuzwa ndio maana kawaweka bench wachezaji watano wa kikosi cha kwanza
 
Attachments

  • Screenshot_20250217-152029.png
    Screenshot_20250217-152029.png
    712.7 KB · Views: 1
Mmiliki wa Singida BS ni nani ambaye anadhamini Yanga
Wadhamini wa Yanga ni

Sportpesa
GSM
Afya water
Whizom n.k
Fei Toto Alinunuliwa Shiling Milioni Ngapi Wakati Anatua Jangwani?
Unamjua Abbas Tarimba?
Na Kuna.......Lakini Basi Acha Nikuache Mjinga Hivyo hivyo
 
Ile kauli Maarufu Ya Msemaji wa Yanga Haji Sanday Manara kuwa "

-"YANGA WENYE AKILI TIMAMU NI WAWILI TU MZEE KIKWETE NA MZEE MANARA"-

HAJI SANDAY MANARA.
MWENYEKITI MZEE ADEN ALIPOSEMA SIMBA WOTE MBUMBUMBU hakukosea utaona miandako tu.
 
Mechi ya leo Bwana Arusi Vs Ndugu wa mume.
Trab na Trat.
 
Hapo kwenye gsm kutangaza biashara zake kwenye timu zote hizo ndipo tatizo lilipo kwani hujui kwamba timu ikifanya vizuri ndani na kimataifa ndivyo biashara zake zinavyozidi kukuwa, na katika timu zote anazodhamini yanga ndio yenye uwezo wa kufanya vizuri sehemu zote mbili kwahiyo ni lazima afanye juu chini ili ahakikishe yanga ambayo pia ndio timu anayoshabikia inapata ushindi, na njia mojawapo anayotumia ni pamoja na kushawishi zile timu ndogo anazozidhamini ziiachie yanga ipate ushindi dhidi yao ili yanga izidi kufanya vizuri kwenye ligi
Uongo. Ni lini Simba alifungwa na timu inayochezea uwanja wa liti? Je Simba kupata matokeo mazuri dhidi ya Singida kuna undugu wowote?
 
Back
Top Bottom