Clouds FM uvumilivu umewashinda, waanzisha kipindi cha michezo asubuhi

Majizo game changer
 
Si kweli kwamba ina wachambuzi wazuri.
Ina watu wasio na weledi na wanaongea mambo mengi kwa hisia kuliko uhalisia.

Ni rahisi kwao kuona makosa ya mwamuzi yakiwa dhidi ya timu wanayoipenda.
Hawaoni kitu chochote kizuri kwa timu wasiyoipenda.

Si ajabu ukakuta wanausifu Arsenal kuliko huku wakimponda Lampard na kuona amefeli.

Ni watu wasiojitambua na hivyo watu wengi tumeshaacha kuwasikiliza.
 
Mkuu kinachofanya Kwanza clouds wasikilizwe Zaid ni ule muda wao wa kipindi ,so wapenz wa habari za michezo tunajikuta tunamaliza nao sa tatu usiku..na pia tunatofautiana mitazamo so siwez kukubishia .Mimi kwa mtazamo wangu their best in sports analyst.,
 
Anaboa kwa kweli na kubadirika hawezi
 
Nimesikiliza wachambuzi wa Clouds,efm na wasafi fm.

Ila kuna George Ambakile yule jamaa nlisikia sifa zake , nikjaribu kumsikiliza aisehh mwamba anajua. Yuko deep sana, huyo Lwambano pale anasubiri.

Au wenzangu mnasemaje?
 
Siyo kweli una chuki tu na Lwambano.
Wanajitahidi sana kubalance muda na taarifa, nusu saa ya mwisho huwa ni ya habari za kimataifa na siku zote imekuwa hivyo na mara nyingi wanaanza na habari za afrika.
 
Nakazia.
 
Lwambano ni mtangazaji si mchambuzi.
Wachambuzi ni Edgar, Shaffih, Kiemba na wengineo
 
Hakuna watangazaji na wachambuzi bora wa habari za michezo hapa nchini kama watangazaji/wachambuzi wa clouds media. Wengi wanaokosoa wanasukumwa na chuki.
Hao EFM na Wasafi ni uchafu mtupu katikati ya habari napigiwa Singeli!!!! Upuuzi mtupu
 
Paul Mkay, Mkali wa Dimba... Hawa jamaa wananikosha sana... Na Mimi hawa jamaa wamenifanya niwasahau na kuwatupilia mbali Kina Lwambano na Geoff Leya....

Sports Arena na Sports Court... Vimekuwa vipindi bora vya michezo kwa sasa..
 
Hapo ktk sport arena [emoji818]
 
Siyo kweli una chuki tu na Lwambano.
Wanajitahidi sana kubalance muda na taarifa, nusu saa ya mwisho huwa ni ya habari za kimataifa na siku zote imekuwa hivyo na mara nyingi wanaanza na ha

Hakuna watangazaji na wachambuzi bora wa habari za michezo hapa nchini kama watangazaji/wachambuzi wa clouds media. Wengi wanaokosoa wanasukumwa na chuki.
Hao EFM na Wasafi ni uchafu mtupu katikati ya habari napigiwa Singeli!!!! Upuuzi

Siyo kweli una chuki tu na Lwambano.
Wanajitahidi sana kubalance muda na taarifa, nusu saa ya mwisho huwa ni ya habari za kimataifa na siku zote imekuwa hivyo na mara nyingi wanaanza na habari za afrika.
kwa Tanzania kipindi kikubwa cha michezo kinachojitahidi kwenda na muda ni Sport HQ cha E FM .kuhusu kupiga nyimbo katikati ya kipindi ni kwaajili ya watangazaji kupumzisha akili na kwenda kupata kifungua kinywa maana Wasafi na E FM vipindi vyao vya asubuhi vina masaa mengi kuliko Clouds,mi naamini Wasafi wanapiga hela nyingi sana kutoka kwa wadhamini wa kipindi chao cha michezo na ndomaana Clouds wamestuka wameona waongeze muda kwenye kipindi chao cha asubuhi.Lwambano ni mtangazaji mzuri ila kwenye habari za kibongo tu kwa mimi ambae sipo Simba,Yanga wala Azam huwezi kuniambia kwamba ni mtangazaji bora wakati hiyo tuzo ya mtangazaji bora kachukua Kitenge.
 
Mzee uko vzur kufatila.
[emoji41]
 
Naonaga mpaka sasa hakuna radio iliyoifikia RFA, si kwa usikivu wala vipindi. Kule kijijini tulikuwa tunatumia RISING yaani hadi mtangazaji akikwaruza karatasi unaisikia utafikiri mko naye karibu kumbe yupo Mwanza na wewe upo Ludewa huko.
Mpangilio wa vipindi unaweza kusikiliza radio siku nzima.
 
Nimesikiliza wachambuzi wa Clouds,efm na wasafi fm.

Ila kuna George Ambakile yule jamaa nlisikia sifa zake , nikjaribu kumsikiliza aisehh mwamba anajua. Yuko deep sana, huyo Lwambano pale anasubiri.

Au wenzangu mnasemaje?
Lwambano ni anchor na George ni pundit..
Wat wawili tofauti..
Lwambano vs kitenge
George vs shafiih
Hapo nadhani umenielewq mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…