Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Anayepewa tenda ya kuandaa tamasha na kutafuta wasanii ni agent ambaye alikua anatafuta wasanii kulingana na bajeti iliyopo mezani na sio ukali wa msanii.Sijajua nini lengo la hilo tamasha ila sijajua wanatumia vigezo gani manake nikitizama list naona hawatishi sana,yaani hata Fid Q,Zaiid,Uno,Sterio,Lord eyez nao hawapo.
Kwenye hiyo list ninaye mkubali Gnako na Blue.Ay na Mwana FA wakali lkn zama zao zishaisha na uwezo ushapungua.
Mimi huyo Wakazi sijawahi mwelewa kabisa.