Clouds Kumdondosha Chriss Brown Tigo Fiesta Dar

Fiesta nayo ijua mie ni ile ya serengeti
..ilikuwa kwa mwenge haibagui mikoa
Mawingu wamechagua mikoa iliyokuwa na
mauzo mazuri kushinda mingine kwenye
fiesta ya last time ..maana na slogani yao
100% local ilibuma wanajaribu upande wa pili
Siokweli mikoa yote ilijaza Sana tu
 
Hii biashara kama wanataka faida wawajumuishe na wcb..
Hey Guys,,

I hope mko Poa.

Katika vitu vilivyo kuwa vina subiriwa na Watz kwa hamu basi ni kusikia siku moja akidondoshwa msanii mkubwa wa Marekani Hasa Chriss Brown,Drake,Rihanna au Hata Beyonce.

Mungu Si Athumani

Juzi Baada ya kutangazwa kishindo cha Fiesta wengi tulishangazwa kuona mikoa ikiwa michache ambayo Tigo fiesta ita timba kukinukisha,Ikabidi niingie kwa Phone kutafuta namba ya mchiz wangu pale mjengoni,Majibu niliyo pata ni kwamba clouds wana mpango wa Hizi show zote zitakazo fanyika mikoa hiyo saba ziwe ni show za kimataifa,#Levels-Baby.

Mwanzoni mipango ilikuwa mwaka huu kusiwepo na show za Fiesta Lakini vijana akina Mchomvu na Bdozen wakashauri kubadilishwa mfumo wa show hizi wa kutegemea wasanii wa ndani,Ndo likaja suala la kudondosha wasanii Kutoka kwa Trump,wengi walishauri kumdondosha Chriss brown na wengne wakashauri Drake,Na inasemekana mmoja kati ya wasanii Hao wawili ndo ata washa moto Tigo fiesta Dar[emoji91][emoji91][emoji91].

Wa mikoani pia hawajaachwa hivi hivi,wajiandae kukutana na wasanii wa nageria,Inasemekana Mwanza atatua Burna Boy na wasanii wengine kibao wa hapa Tz.

Pia Clouds mipango yao ni kuwa Kila baada ya miezi mitatu watakuwa na show kubwa ya msanii mkubwa Kutoka nje,Na wameamua kufanya hivi ili kurudisha Ule mfumo walio kuwa nao nyuma.

Hongereni sana Clouds,Hizi ndo show Watz tunataka,siyo show unatuletea akina whozu Mara akina Lavalava.

Big Congratulations CMG.
 
Wanaotaka kushindana na clouds wakaze sana maana jamaa ni wabunifu balaa

Clouds ndo wakali wa hizi kazi,ngoja nijichange nikamuone breeeezy
 
Mambo yenu hayo wanyoa viduku a.k.a vijogoo Mimi hata unipe na pesa juu alafu wamlete trump atumbuize siwezi kupoteza muda wangu
 
Chris mbaguzi yule wa rangi, anabagua sana watu weusi!

Akija ndiyo atajua namaanisha nini.
We jamaa hebu uwe na ushahidi basi, hivi kuna mtu mweusi mwenye ubaguzi wa rangi kwa weusi wenzake kweli kule Marekani?
Yule ni African-American wanavyojiita wao Marekani kwa sasa lakini ndo wale wale Black -American's walijiita zamani na ndo Negro wa enzi hizo pale Virginia.
 
Huo uwezo walikuwanao zamani,Rick ross anakuja hapa anabeba mamia ya mamilioni bila kulipa kodi siku hizi hatutaki ujinga wakija walipe kodi yetu.
 
Hey Guys,,

I hope mko Poa.

Katika vitu vilivyo kuwa vina subiriwa na Watz kwa hamu basi ni kusikia siku moja akidondoshwa msanii mkubwa wa Marekani Hasa Chriss Brown,Drake,Rihanna au Hata Beyonce.

Mungu Si Athumani

Juzi Baada ya kutangazwa kishindo cha Fiesta wengi tulishangazwa kuona mikoa ikiwa michache ambayo Tigo fiesta ita timba kukinukisha,Ikabidi niingie kwa Phone kutafuta namba ya mchiz wangu pale mjengoni,Majibu niliyo pata ni kwamba clouds wana mpango wa Hizi show zote zitakazo fanyika mikoa hiyo saba ziwe ni show za kimataifa,#Levels-Baby.

Mwanzoni mipango ilikuwa mwaka huu kusiwepo na show za Fiesta Lakini vijana akina Mchomvu na Bdozen wakashauri kubadilishwa mfumo wa show hizi wa kutegemea wasanii wa ndani,Ndo likaja suala la kudondosha wasanii Kutoka kwa Trump,wengi walishauri kumdondosha Chriss brown na wengne wakashauri Drake,Na inasemekana mmoja kati ya wasanii Hao wawili ndo ata washa moto Tigo fiesta Dar[emoji91][emoji91][emoji91].

Wa mikoani pia hawajaachwa hivi hivi,wajiandae kukutana na wasanii wa nageria,Inasemekana Mwanza atatua Burna Boy na wasanii wengine kibao wa hapa Tz.

Pia Clouds mipango yao ni kuwa Kila baada ya miezi mitatu watakuwa na show kubwa ya msanii mkubwa Kutoka nje,Na wameamua kufanya hivi ili kurudisha Ule mfumo walio kuwa nao nyuma.

Hongereni sana Clouds,Hizi ndo show Watz tunataka,siyo show unatuletea akina whozu Mara akina Lavalava.

Big Congratulations CMG.
Acha uboya kojoa ukalale usifananishe wasafi na huo upumbavu shenzi type ebooooooh
 
Waje wote ilo wafit vizuri kwenye nyimbo yao ya no guidance
 
Back
Top Bottom