Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,943
Criss Brown au Drake labda wajitoe bure ila fedha ya kuwalipa hakuna.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sema huna,sis tunazo.Criss Brown au Drake labda wajitoe bure ila fedha ya kuwalipa hakuna.
Ila yeye pia si black?Chris mbaguzi yule wa rangi, anabagua sana watu weusi!
Akija ndiyo atajua namaanisha nini.
Clouds wana uwezo wa kulipa show ya billion 1?Wew ndo huna ubav bro.
Siokweli mikoa yote ilijaza Sana tuFiesta nayo ijua mie ni ile ya serengeti
..ilikuwa kwa mwenge haibagui mikoa
Mawingu wamechagua mikoa iliyokuwa na
mauzo mazuri kushinda mingine kwenye
fiesta ya last time ..maana na slogani yao
100% local ilibuma wanajaribu upande wa pili
Bongo fleva=WCB
Hey Guys,,
I hope mko Poa.
Katika vitu vilivyo kuwa vina subiriwa na Watz kwa hamu basi ni kusikia siku moja akidondoshwa msanii mkubwa wa Marekani Hasa Chriss Brown,Drake,Rihanna au Hata Beyonce.
Mungu Si Athumani
Juzi Baada ya kutangazwa kishindo cha Fiesta wengi tulishangazwa kuona mikoa ikiwa michache ambayo Tigo fiesta ita timba kukinukisha,Ikabidi niingie kwa Phone kutafuta namba ya mchiz wangu pale mjengoni,Majibu niliyo pata ni kwamba clouds wana mpango wa Hizi show zote zitakazo fanyika mikoa hiyo saba ziwe ni show za kimataifa,#Levels-Baby.
Mwanzoni mipango ilikuwa mwaka huu kusiwepo na show za Fiesta Lakini vijana akina Mchomvu na Bdozen wakashauri kubadilishwa mfumo wa show hizi wa kutegemea wasanii wa ndani,Ndo likaja suala la kudondosha wasanii Kutoka kwa Trump,wengi walishauri kumdondosha Chriss brown na wengne wakashauri Drake,Na inasemekana mmoja kati ya wasanii Hao wawili ndo ata washa moto Tigo fiesta Dar[emoji91][emoji91][emoji91].
Wa mikoani pia hawajaachwa hivi hivi,wajiandae kukutana na wasanii wa nageria,Inasemekana Mwanza atatua Burna Boy na wasanii wengine kibao wa hapa Tz.
Pia Clouds mipango yao ni kuwa Kila baada ya miezi mitatu watakuwa na show kubwa ya msanii mkubwa Kutoka nje,Na wameamua kufanya hivi ili kurudisha Ule mfumo walio kuwa nao nyuma.
Hongereni sana Clouds,Hizi ndo show Watz tunataka,siyo show unatuletea akina whozu Mara akina Lavalava.
Big Congratulations CMG.
Hiyo biashara Fanya wew.Hii biashara kama wanataka faida wawajumuishe na wcb..
Nilikuwa napitia comment zote ili nione kama kuna mtu ameuliza.Ili nami niulizeAnabaguaje watu weusi wakati yeye mwenyewe ni mweusi?
.
Au ulikuwa unaota?
Anazidi kusisitiza ni mbaguziNilikuwa napitia comment zote ili nione kama kuna mtu ameuliza.Ili nami niulize
Ila ngoja nipitie kama limejibiwa, kisha nirudi ku comment.
Wew Lea wajukuu tu.Mambo yenu hayo wanyoa viduku a.k.a vijogoo Mimi hata unipe na pesa juu alafu wamlete trump atumbuize siwezi kupoteza muda wangu
We jamaa hebu uwe na ushahidi basi, hivi kuna mtu mweusi mwenye ubaguzi wa rangi kwa weusi wenzake kweli kule Marekani?Chris mbaguzi yule wa rangi, anabagua sana watu weusi!
Akija ndiyo atajua namaanisha nini.
Acha uboya kojoa ukalale usifananishe wasafi na huo upumbavu shenzi type eboooooohHey Guys,,
I hope mko Poa.
Katika vitu vilivyo kuwa vina subiriwa na Watz kwa hamu basi ni kusikia siku moja akidondoshwa msanii mkubwa wa Marekani Hasa Chriss Brown,Drake,Rihanna au Hata Beyonce.
Mungu Si Athumani
Juzi Baada ya kutangazwa kishindo cha Fiesta wengi tulishangazwa kuona mikoa ikiwa michache ambayo Tigo fiesta ita timba kukinukisha,Ikabidi niingie kwa Phone kutafuta namba ya mchiz wangu pale mjengoni,Majibu niliyo pata ni kwamba clouds wana mpango wa Hizi show zote zitakazo fanyika mikoa hiyo saba ziwe ni show za kimataifa,#Levels-Baby.
Mwanzoni mipango ilikuwa mwaka huu kusiwepo na show za Fiesta Lakini vijana akina Mchomvu na Bdozen wakashauri kubadilishwa mfumo wa show hizi wa kutegemea wasanii wa ndani,Ndo likaja suala la kudondosha wasanii Kutoka kwa Trump,wengi walishauri kumdondosha Chriss brown na wengne wakashauri Drake,Na inasemekana mmoja kati ya wasanii Hao wawili ndo ata washa moto Tigo fiesta Dar[emoji91][emoji91][emoji91].
Wa mikoani pia hawajaachwa hivi hivi,wajiandae kukutana na wasanii wa nageria,Inasemekana Mwanza atatua Burna Boy na wasanii wengine kibao wa hapa Tz.
Pia Clouds mipango yao ni kuwa Kila baada ya miezi mitatu watakuwa na show kubwa ya msanii mkubwa Kutoka nje,Na wameamua kufanya hivi ili kurudisha Ule mfumo walio kuwa nao nyuma.
Hongereni sana Clouds,Hizi ndo show Watz tunataka,siyo show unatuletea akina whozu Mara akina Lavalava.
Big Congratulations CMG.
HUwajui wabongo kwa kushuka bei??Unajua gharama za kumleta brizzy au drizzy wewe??
Unalipa watangazaji wote wa cmg kwa miaka miwili[emoji23]