Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anashitakiwa na Jamhuri, cloud watatoa tu ushaidi. Mshaurini Bashite ahame nchi.Kusaga hawezi kumshtaki Makonda!
Vipi kama hao Jamuhuri watasema Mtu amguse aone?.
Bashite kamtumia Le mutuz kuwaomba Clouls waache kumfungulia kesiClouds mambo yalimaliza kienyeji, Tz hakuna haki
Kusaga hawezi kumshtaki Makonda!
Jamani,kayafa si aliwapatanisha yakaisha.
Chambua hoja bossMbna akili zako mbilikimo hv?????
Kesi inaanza tarehe 3 alafu Makonda yupo mtaani anadunda tu huku gaidi akiwa seloNakukumbusha tu kwamba case ya huyu jambazi inaanza tarehe 3.12.2021.
Haki itatamalaki . Tutajua kwamba yeye alihusika kumshambulia tundu lisu na wengine wengi.
Endelea kushangilia upumbavu
Eti madawa ya kulevyya
Kubenea ndio jamhuri kumbe..duhHujui Sheria ya Jinai wewe
Mtu Binafsi hawezi kushtaki, ni Serikali ndio Inashtaki, Mtu Binafsi atakuja kama Shahidi Tu
Hao Clouds hawana Uwezo kisheria Kumshtaki Bashite, atashtakiwa na Serikali na wao watakuja Kama Mashahidi Tu.
Huyo Sam Kilaza Hana anachojua.
Kama alivyofanywa Jangili Sabaya.
Jua Serikali Ikimshtaki hachomoki
Na Clouds watakuja Kutoa ushahidi
Jamhuri ya Kubenea duhMakonda alitenda kosa la jinai, kosa la jinai si la hiari linakuwa chini ya jamuhuri halina matakwa binafsi, Clouds wanatakiwa walielewe hilo kupitia kwa mwanasheria wao. Mtu yeyote atakaefungua shauri Clouds watatakiwa kuwa mashahidi tu kwa sababu kitendo kilifanyika ndani mwao na umma ulishuhudia.
Wasiwe na hofu kwani wao hawatagharamika kifedha, hilo ni jukumu la ampenda haki.